Mzee Kipara anamiss Safari za nje

Yule Kipara kasoma Marekani,I forget which University.
Halafu kafaya kazi Carter Center. Kwa hiyo labda ameonana na Jimmy Carter.
Halafu amekwenda White House na Kikwete kuonana na Barak Obama.
Kabla ya hapo alikwenda White House na Kikwete kuonana na George W. Bush nadhani.
 
Amefanya nini cha maana kwa Tanzania? Wewe unaogopa ameonana na nani?
 
Kwa hiyo hizo ni sifa za mtu kuwa Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…