Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Bumunda ndyo yupi?Kipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.
Kwani katika.Baba yake alishasema,, atarudi tena kwenye system!!
MTU ambaye Ni mjinga mjinga na ambaye ubini wake una utata. Ni MTU anaye ongea ongea Sana, Hana Siri, ukifanya naye Jambo sirini jiandae kuumbuka maana Hana kifua Cha kutunza siri. Huyo ndio tunamwita Bumunda. Sio kila mtoto wa single maza Ni Bumunda, wengine ubini wao unafahamika.Bumunda ndyo yupi?
Hongera sanaPer diems in USD
Bumunda hata Sentensi mbili za kiimgereza hajui sasa mnamuone tuKipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.