Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Hata wale watu waliondamana wanajua hatashinda lakini ni muhimu kuwaachia wananchi mara moja moja watoe ya moyoni na kuingia barabarani kuandamana. Binadamu hatufanani.
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo Mkuu kwa uelewa wako... Unafikiri Jiwe lilishinda kabisaaa uchaguzi 2015!?!
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu tambua kwamba MTU WENU alitangazwa na Lubuva ,Tofautisha Kushinda na Kutangazwa!! Aliyeshinda mwingine lakini akatangazwa mwingine.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CCM wamesha panic,

Lumumba hapakaliki tena,

Msiba umefunikwa,

Nguvu ya CHADEMA yadhihirika mchana kweupe pee.
 
Kwahiyo hadi wenzie watamuunga mkono na kumpigia kampeni Lisu?

Hii tabia ya kudanganya nafsi zenu kwa kujifariji huwa mnatia huruma sana.
 
Kwa hali navyoiona sidhani kama leo mnaweza kupewa buku saba zenu
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
OGOPA WAJUMBE MKUU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…