Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nafikiri huwajui vizuri Chadema. Wafuatilie na soma itikadi yao na kila kituMaturity ipi mkuu hebu tuwe realistic hapa, hivi CHADEMA ina ilani ya uchaguzi? Kwa mfano wakipewa dola unajua watafanya nn zaidi ya kuweka mwenge wa uhuru makumbusho?.
Lowassa alishinda ila tume ilichakachua matokeoNajaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Acha kuwashwa. Ya leo ni mapokezi, subir kipenga kipulzweeeNajaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Hivi unajiskia unachonena?Kwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.
Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.
Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5 zaidi
Si amepita mitaa yote au?Wangeruhusu mapokezi ya lissu waone
Mbwiga wapi nilipomtaja Lisu?Acha kuwashwa. Ya leo ni mapokezi, subir kipenga kipulzweee
Huyu ndio Lissu !!! Hana Pesa kama Lowassa, lkn MOTO WAKE UMEWASHWA NA KAZI ISIYO YA MWANADAMU.
Hahahaaaa......... Prof Lipumba anawaalika kwa ushirikiano!Ume panic sana 😂😂😂
Pigia mstari. October sio mbali tutakumbushana humuHivi unajiskia unachonena?
Lowasa kihalali alipata kura nyingi zaidi ya jpm, wananchi walimpa sana kura. Ni janjajanja tu ya CCM ilimkosesha tongeNajaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna tv wala gazeti wala chombo chochote kilichotangaza ujio wake lakini watu wameenda kumpokea lisu wangetangaza ingekuwaje jamaniKwani yamezuiwa au wewe uko Namanyele?
Hawapati hivi kwa nn ukiwa vyama vya upizani people zinakuwa na akili sanaKwa hali navyoiona sidhani kama leo mnaweza kupewa buku saba zenu
Chadema ni wapumbavu sana na malofa ,wanasahau kwenye msafara wa mamba na kenge wapo ,kifupi ni kwamba ndani ya wanachama wao,walikuwepo vijana kibao wa usalama waliovalia kiraia,wakiwacheki tu na sarakasi zao
Nyumbu wa Lumumba akili zenu mmeshikiwa kwa hiyo ilani unaona ni bonge la inshu? Ilani hata fomu 4 anaweza kuidraft kwa dakika sembuse cdm chama kubwa?Maturity ipi mkuu hebu tuwe realistic hapa, hivi CHADEMA ina ilani ya uchaguzi? Kwa mfano wakipewa dola unajua watafanya nn zaidi ya kuweka mwenge wa uhuru makumbusho?.
Anamletea nani Cardiac arrest nyingine ?Huyu Lissu angengojea tumzike kwanza mzee wetu bana! Namna hii, anaweza leta "cardiac arrest" nyingine! Sio busara.