Mzee Lowassa yuko wapi?

Mwaka huu ndio kabisa. Sitaki hata kuwazia.

Hahahaaa utaka kila kitu... Shauri yako.
 
Sitasahau huyu mzee kipindi cha kampen mchana kutwa nazurura kumtangaza vizuri sana, nipo ushirombo na DC fulani hivi alihamaga na pick up ikiwa na ndala za kuogea tu na sasa yupo Moro analima nyanya dumila duuuu
 
Binafsi sina hamu na Lowasa...! Ghafla niligeuka kuitwa Ngoyai daughter๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†!..kama ni mchezo huyu katuchzea michezo "michafu"
Mungu atatulipia
Watu wamekufa, watu wamefungwa, watu wamefunga biashara ghafla anarudi chama tawala, mzee mwenye bleach ya kikongo sijui Kama ataenda mbinguni
 
Enyi watu mnaomchamba Mzee wa watu,jitafakarini sana maana shida zenu zisiwe sababu ya kulaani watu wengine.

Hakuna mtu mwenye wajibu wa kuyafanya bora maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe.

Una nguvu,akili timamu,na afya njema,jiunge kwenye mchezo.Usisubiri mtu mwingine acheze ili ufurahi.Chukua hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyepesi za kunyapia nyapia zinasema mzee anajiandaa kwenda NCCR kuwa mgombea wa urais..2020

NCCR tunaiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani...baadhi ya wabunge wetu wa CCM pia watahamia yuko kuchukua majimbo to make up the numbers!!
 
Hiyo ndiyo style halisi ya maisha ya EL hana makuu, akipiga pigo Lake liwe la kweli au la uongo HUKAA KIMYAA .

Hivi sasa ukichanganya na afya yake Mzee wetu amechoka , tumwache apumzike ang'ate taratibu vile alivyochuma kwa jasho la uanasiasa, ukulima, ufugaji na ufanyabiashara.

Kiukweli, EL ni mpambanaji.
 
Yuko nyumbani kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ