Mzee Lowassa yuko wapi?

Mzee Lowassa yuko wapi?

Huu mwaka sitataka kujua kuhusu uchaguzi...ila atakayeenda kupiga kura akitokea hapa kwangu nakata kila kitu! ..siku hyo ntafatilia nyendo zooote za jamaa! Ajichanganye akapige kura...hahhaa....hataamini!.
Uliwaza mbali sana! Mie nilijua maana ya ukombozi imekaribia
Mwaka huu ndio kabisa. Sitaki hata kuwazia.

Hahahaaa utaka kila kitu... Shauri yako.
 
Binafsi sina hamu na Lowasa...! Ghafla niligeuka kuitwa Ngoyai daughter😆😆😆😆!..kama ni mchezo huyu katuchzea michezo "michafu"
Mungu atatulipia
Watu wamekufa, watu wamefungwa, watu wamefunga biashara ghafla anarudi chama tawala, mzee mwenye bleach ya kikongo sijui Kama ataenda mbinguni
 
Enyi watu mnaomchamba Mzee wa watu,jitafakarini sana maana shida zenu zisiwe sababu ya kulaani watu wengine.

Hakuna mtu mwenye wajibu wa kuyafanya bora maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe.

Una nguvu,akili timamu,na afya njema,jiunge kwenye mchezo.Usisubiri mtu mwingine acheze ili ufurahi.Chukua hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyepesi za kunyapia nyapia zinasema mzee anajiandaa kwenda NCCR kuwa mgombea wa urais..2020

NCCR tunaiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani...baadhi ya wabunge wetu wa CCM pia watahamia yuko kuchukua majimbo to make up the numbers!!
 
Hiyo ndiyo style halisi ya maisha ya EL hana makuu, akipiga pigo Lake liwe la kweli au la uongo HUKAA KIMYAA .

Hivi sasa ukichanganya na afya yake Mzee wetu amechoka , tumwache apumzike ang'ate taratibu vile alivyochuma kwa jasho la uanasiasa, ukulima, ufugaji na ufanyabiashara.

Kiukweli, EL ni mpambanaji.
 
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Yuko nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom