Mzee Lowassa yuko wapi?

Binafsi sina hamu na Lowasa...! Ghafla niligeuka kuitwa Ngoyai daughter๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†!..kama ni mchezo huyu katuchzea michezo "michafu"
Mungu atatulipia
Usimuingize Mungu kwa matatizo.yako.tu ya kufikiri
Na ujanja wako.wote huo uliamini kwamba Lowassa atakuwa rais?
 
watu walikua wanamuita fisadi na majina ya kila aina wengine mpaka wakamuimba kwenye nyimbo zao
mzee wa watu kuangalia watu wenyewe wengi ni watoto wajuzi juzi tu 90s ndo wanachonga sana eti wanataka mabadiliko hahahaaa
mzee akaona ngojea niingie mzigoni sasa niwafundishe siasa bila huruma kawapigisha mpaka deki kwenye jua kali halafu mwisho wa siku kapita hivi
yaani nahisi kipindi kile cha kampeni akikaa kwenye tv kuangalia alivyokua anawakusanya watu na kuwazungusha mikono alikua anacheka hadi hasira zote za kuitwa fisadi ziliisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
alikua anajiuliza hivi hawa watu wanaakili kweli yaani urais unapatikana kiurahisi rahisi tu anapata nguvu tena kesho yake anaamka kwenye kampeni anazungusha watu mikono anaingia kwenye chopa motooooo
 
The best comment in this post. Hakuna mchangiaji mzuri kama wewe.
 
Sadly iko kipande kipo kwenye nyimbo hio attachment watumie rostam walioimba hio nyimbo
 
Wakulaumu ni January Makamba aliyehamasisha tusitumie ile B sijui VR
 
Hakuna mchangiaji mzuri kama wewe. Good, umekumbushia mbali.
 
yupo ana angalia vile biashara zake zinapigwa pini now tupo bandarini... Uchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ