Mzee Lowassa yuko wapi?

Unafahamu alipo?! Na ana hali gani? Au unajiongelesha tu.
 
Hivi yeye hakuna zile International post kama kusuruhisha migogoro, kusimamia chaguzi nk. ambazo anaweza kupewa kama mwenzie JK?
 
Kwani kwako elimu ni nini? Kiwango chake ni kipi?
Mtufafanulie nyie Chadema mliokuwa mkisema kipau mbele cha kwanza elimu, cha pili Elimu na cha Tatu Elimu mlipokuwa mkizunguka kutapeli watanzania bila hata kufafanua mkidhani watanzania wajinga watawapa kura kwa hiyo slogan ya kitapeli

Haya fafanua mliposema kipau mbele Chenu Elimu mlimaanisha elimu gani ?
 
Mind your own fakin business
If you were really a believer in minding own business, you could not have posted in response to my post! If you fail to mind your own business how can you expect others to do?

 
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?

View attachment 2316031
Yuko huko anavuna alichopanda. Wakati akiwa waziri na baadae waziri mkuu hakuwahi kuamini ktk Tume Huru na Mahakama huru.

Alipigwa kitu kizito 2015 hadi leo hajapata nafuu.🤣
 
Hivi yeye hakuna zile International post kama kusuruhisha migogoro, kusimamia chaguzi nk. ambazo anaweza kupewa kama mwenzie JK?
🤣🤣🤣aliwasaliti watanzania system imemsaliti na yeye.
 
Yuko huko anavuna alichopanda. Wakati akiwa waziri na baadae waziri mkuu hakuwahi kuamini ktk Tume Huru na Mahakama huru.

Alipigwa kitu kizito 2015 hadi leo hajapata nafuu.[emoji1787]
Mwachen mzee apumnzike anasubili mda waku RIP kalitumikia taifa kwa nguvu zake zote.
 
Alishirikiana na wezi miaka nenda rudi, 2015 karma ikafanya yake
Utakufa masikini. Hakuna mwanasiasa ambayr yupo kwa ajili ya tumbo lako. Hata wao wanapigania ustawi wa familia zao, watoto wao, wajukuu zao na watoto wa wajukuu zao.


Hata yule alikuwa anajinasibu ni wawanyonge wakati amechuma tangu akiwa waziri unakumbuka?
 
Ila kweli wanatafuta kwa ajili ya familia zao. Sisi maskini ndio tunabaki tunalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…