Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Kwani kwako elimu ni nini? Kiwango chake ni kipi?Mbowe Na Mnyika mbona wamemaliza tu sekondari
Hicho kipaumbele cha Elimu kilikuwa hakiwahusu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwako elimu ni nini? Kiwango chake ni kipi?Mbowe Na Mnyika mbona wamemaliza tu sekondari
Hicho kipaumbele cha Elimu kilikuwa hakiwahusu au?
Unafahamu alipo?! Na ana hali gani? Au unajiongelesha tu.Umati mkubwa sana. Sijui Chadema walifanya trick photography? Lakini kwa crowds Kama hizi huyu anaweza Rais wakati wowote kwa sababu anaweza kuiunganisha nchi.
Wamempiga chini wanasema Hana uhusiano nzuri na Nyerere, lakini utaona familia ya Nyerere haina uhusiano nzuri na hao wanaosema wanaipigania.
Hapa ukitaka Rais Samia ajiuzulu for any reason,huyu ndiye atakuwa the best candidate kumalizia hii awamu.
Sijui yuko wapi. Last time nilipomuona,alikuja hapa nyumbani. He was ok but he could not keep that hand from trembling.Unafahamu alipo?! Na ana hali gani? Au unajiongelesha tu.
Mtufafanulie nyie Chadema mliokuwa mkisema kipau mbele cha kwanza elimu, cha pili Elimu na cha Tatu Elimu mlipokuwa mkizunguka kutapeli watanzania bila hata kufafanua mkidhani watanzania wajinga watawapa kura kwa hiyo slogan ya kitapeliKwani kwako elimu ni nini? Kiwango chake ni kipi?
If you were really a believer in minding own business, you could not have posted in response to my post! If you fail to mind your own business how can you expect others to do?Mind your own fakin business
Yuko huko anavuna alichopanda. Wakati akiwa waziri na baadae waziri mkuu hakuwahi kuamini ktk Tume Huru na Mahakama huru.Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
View attachment 2316031
🤣🤣🤣aliwasaliti watanzania system imemsaliti na yeye.Hivi yeye hakuna zile International post kama kusuruhisha migogoro, kusimamia chaguzi nk. ambazo anaweza kupewa kama mwenzie JK?
Mwachen mzee apumnzike anasubili mda waku RIP kalitumikia taifa kwa nguvu zake zote.Yuko huko anavuna alichopanda. Wakati akiwa waziri na baadae waziri mkuu hakuwahi kuamini ktk Tume Huru na Mahakama huru.
Alipigwa kitu kizito 2015 hadi leo hajapata nafuu.[emoji1787]
Means?Alishirikiana na wezi miaka nenda rudi, 2015 karma ikafanya yake
Alikosa uraisMeans?
Utakufa masikini. Hakuna mwanasiasa ambayr yupo kwa ajili ya tumbo lako. Hata wao wanapigania ustawi wa familia zao, watoto wao, wajukuu zao na watoto wa wajukuu zao.Alishirikiana na wezi miaka nenda rudi, 2015 karma ikafanya yake
Utakufa masikini. Hakuna mwanasiasa ambayr yupo kwa ajili ya tumbo lako. Hata wao wanapigania ustawi wa familia zao, watoto wao, wajukuu zao na watoto wa wajukuu zao.
Hata yule alikuwa anajinasibu ni wawanyonge wakati amechuma tangu akiwa waziri unakumbuka?