Mzee Lowassa yuko wapi?

Mungu hapendi wanafiki.
 
Watu wamekufa, watu wamefungwa, watu wamefunga biashara ghafla anarudi chama tawala, mzee mwenye bleach ya kikongo sijui Kama ataenda mbinguni
Kama ni Mbinguni kwa Yehova hafiki. Ila kama mbinguni kwa shetani ataenda
 
Alishatubu kanisani dhambi zote alizofanya kwa mawazo,kwa maneno ,kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu sasa anasubiri kwenda zake mbinguni
Mwenyezi Mungu sio tu hasikilizi maombi ya mnafiki bali hata hayamfikii
 
Inasikitisha sana namna watu wanavyoleta mizaha na masikhara kwenye afya ya mtu!
Mzee Lowasa ni mwanasiasa lakini ni kama Baba/Babu yetu, tumuheshimu hata kwa hilo please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…