Siasa siasani“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini haya yaliyotokea jana [kushinda kesi dhidi ya uongozi Yanga] hazina ukweli.” – Juma Magoma, Mwanachama Yanga
View attachment 3044461
Nape na utekajiMnachezewa hapa kweny ishu ya NAPE
Anafaa Mo pale ukoloni, boko kabeba vindoo hadi kapinda mgongo, sasa hivi JKT wamempatia mkongojoMzee mmemtishia kumbana makende kaogopa.ila ukweli GSM hafai kuwa kiongozi hapo utopolo