Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

kasema kesi yake ilikuwa ni dhidi ya bodi ya wadhamini (board of trustee) na siyo dhidi ya uongozi wa yanga. kasema hana shida na uongozi wa yanga. (ila hapa kama kuna kamtego fulani)

kimsingi alhaji rage kasema magoma anatakiwa kuelimishwa tu, maana madai yake ni ya kijinga, akielimishwa ujinga utamtoka.

ephen_ upo mama?
 
Nipo
 
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini haya yaliyotokea jana [kushinda kesi dhidi ya uongozi Yanga] hazina ukweli.”

Juma Magoma,
Mwanachama Yanga
View attachment 3044461

Mwambieni Ephen aache hasira,huh mchezo,hautaki hasira
 
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini haya yaliyotokea jana [kushinda kesi dhidi ya uongozi Yanga] hazina ukweli.”

Juma Magoma,
Mwanachama Yanga
View attachment 3044461
Spinning...
 
kasema kesi yake ilikuwa ni dhidi ya bodi ya wadhamini (board of trustee) na siyo dhidi ya uongozi wa yanga. kasema hana shida na uongozi wa yanga. (ila hapa kama kuna kamtego fulani)

kimsingi alhaji rage kasema magoma anatakiwa kuelimishwa tu, maana madai yake ni ya kijinga, akielimishwa ujinga utamtoka.

ephen_ upo mama?
Kumbe rage hakuonea mtu alipowaita wale jamaa mbumbumbu
 
Mwisho wa siku nimekuja kujiridhisha kuwa ni mambo ya kutengeneza ili kuhamisha mjadala wa kisiasa kwa serikali. Hapa kuna Milard na Edo wametumika katika hili.
 
Wabongo washaletewa jambo
Wabadilishwe bongo

Ova
Hua nasema siku zote, Mkwere alishatujulia akasema "huu ni upepo tu utapita" Kwa hiyo kauli, acha wamtunuku PhD.

Likitokea jambo tunazoza tunazoza tunazoza likija jipya, tunaondoka nalo na lile la awali linazima.
 
Back
Top Bottom