granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
rage kanikosha sana, kasema ebu tuchezeni mpira bwana tuache ujinga ujinga. tangia lini ishu za mpira wa miguu zikapelekwa mahakama za kiraia? nikasema hapa rage kamuita hakimu mbumbumbu pia.Kumbe rage hakuonea mtu alipowaita wale jamaa mbumbumbu
halafu kumbe yanga hawakwenda kwenye hyo kesi, kesi imeamuliwa kwa kusikilizwa upande mmoja wa magoma tu