CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Limbwata hilo, lina muda wake.Mimi na ephen hata shetani Mwenyewe ameshindwa kututenganisha . Tunapendanaaa ni hakuna mfano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limbwata hilo, lina muda wake.Mimi na ephen hata shetani Mwenyewe ameshindwa kututenganisha . Tunapendanaaa ni hakuna mfano.
Upendo uliopo kati yangu na ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu ni mkubwa sana na hauwezi kuvunjwa na mtu yeyote yule hata kwa jiwe la fatuma wala nyundo ya kupasulia kokoto.Limbwata hilo, lina muda wake.
Wewe ndiye Guede?Nitakurudisha tu kwa nguvu. Maana hakuna namna nyingine.
Nimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9.Wewe ndiye Guede?
Nimeshindwa kukujibu kule nina banNimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9.
Aliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️Nimeshindwa kukujibu kule nina ban
Angalia wasikuvunje ugoko vijana wa Gen Z
Asante babu! Kesho tunacheza tusubiri tuone kama kweli Guede kaacha laana au lahAliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️