Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

kasema kesi yake ilikuwa ni dhidi ya bodi ya wadhamini (board of trustee) na siyo dhidi ya uongozi wa yanga. kasema hana shida na uongozi wa yanga. (ila hapa kama kuna kamtego fulani)

kimsingi alhaji rage kasema magoma anatakiwa kuelimishwa tu, maana madai yake ni ya kijinga, akielimishwa ujinga utamtoka.

ephen_ upo mama?
 
Nipo
 



Your browser is not able to display this video.
 
Mwambieni Ephen aache hasira,huh mchezo,hautaki hasira
 
Spinning...
 
Kumbe rage hakuonea mtu alipowaita wale jamaa mbumbumbu
 
Mwisho wa siku nimekuja kujiridhisha kuwa ni mambo ya kutengeneza ili kuhamisha mjadala wa kisiasa kwa serikali. Hapa kuna Milard na Edo wametumika katika hili.
 
Mzee πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Wabongo washaletewa jambo
Wabadilishwe bongo

Ova
Hua nasema siku zote, Mkwere alishatujulia akasema "huu ni upepo tu utapita" Kwa hiyo kauli, acha wamtunuku PhD.

Likitokea jambo tunazoza tunazoza tunazoza likija jipya, tunaondoka nalo na lile la awali linazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…