CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Jul 18, 2024 #81 Lucas Mwashambwa said: Mimi na ephen hata shetani Mwenyewe ameshindwa kututenganisha . Tunapendanaaa ni hakuna mfano. Click to expand... Limbwata hilo, lina muda wake.
Lucas Mwashambwa said: Mimi na ephen hata shetani Mwenyewe ameshindwa kututenganisha . Tunapendanaaa ni hakuna mfano. Click to expand... Limbwata hilo, lina muda wake.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jul 18, 2024 #82 CHIEF PRIEST said: Limbwata hilo, lina muda wake. Click to expand... Upendo uliopo kati yangu na ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu ni mkubwa sana na hauwezi kuvunjwa na mtu yeyote yule hata kwa jiwe la fatuma wala nyundo ya kupasulia kokoto.
CHIEF PRIEST said: Limbwata hilo, lina muda wake. Click to expand... Upendo uliopo kati yangu na ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu ni mkubwa sana na hauwezi kuvunjwa na mtu yeyote yule hata kwa jiwe la fatuma wala nyundo ya kupasulia kokoto.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 Jul 19, 2024 #83 Tate Mkuu said: Nitakurudisha tu kwa nguvu. Maana hakuna namna nyingine. Click to expand... Wewe ndiye Guede?
Tate Mkuu said: Nitakurudisha tu kwa nguvu. Maana hakuna namna nyingine. Click to expand... Wewe ndiye Guede?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jul 19, 2024 #84 ephen_ said: Wewe ndiye Guede? Click to expand... Nimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9.
ephen_ said: Wewe ndiye Guede? Click to expand... Nimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 Jul 19, 2024 #85 Tate Mkuu said: Nimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9. Click to expand... Nimeshindwa kukujibu kule nina ban Angalia wasikuvunje ugoko vijana wa Gen Z
Tate Mkuu said: Nimeamua tu kuwa kama yeye eti, ili tu nisikupoteze. Nimeanza kucheza mpaka mpira na huu uzee wangu. Halafu nacheza namba 9. Click to expand... Nimeshindwa kukujibu kule nina ban Angalia wasikuvunje ugoko vijana wa Gen Z
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jul 19, 2024 #86 ephen_ said: Nimeshindwa kukujibu kule nina ban Angalia wasikuvunje ugoko vijana wa Gen Z Click to expand... Aliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️
ephen_ said: Nimeshindwa kukujibu kule nina ban Angalia wasikuvunje ugoko vijana wa Gen Z Click to expand... Aliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 Jul 19, 2024 #87 Tate Mkuu said: Aliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️ Click to expand... Asante babu! Kesho tunacheza tusubiri tuone kama kweli Guede kaacha laana au lah
Tate Mkuu said: Aliyekupiga ban bila shaka atakuwa na yeye ameingiwa tu na wivu kama mimi. Pole ☹️ Click to expand... Asante babu! Kesho tunacheza tusubiri tuone kama kweli Guede kaacha laana au lah