Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

Ishu sio ya Mzee Magoma tena, ishu ni ya Mahakama. Kwa hiyo kukazia hukumu ya mahakama inaweza ikaja kampuni ya udalali kuondoa vitu vyote vya Hersi pale makao makuu
Mahakama kuna appeal,na hapo hamna kesi,mo aje kupambana kiume sio atafute Yanga dhaifu,ameshindwa kufanya alichofanya kwa manji ndio anawatumia hao wazee njaa
 
Waite uchaguzi faster.....hapo ndio mzee Magoma atajua hajui.
 
Mangungu kasha waachia timu yenu?
Udanganyifu kwa Sasa hatuna nafasi kwenye timu yetu.Gsm anapaswa kuondoka na kuiacha timu kwa wenye timu yao.kwanini hamtaki kufuata katiba ya timu yetu?kisa GSM ana mali ndo mnavunja katiba?
 
Hiii taarifa inadhangaza saa 6 usiku ndio inatolewa, tungoje saa 8 mchana wa leo Yanga watakapo kutana na wanahabari
 
Mie sio mfuatiliaji wa boli ila hua nasikia mambo ya soka hayaendi mahakamani. Sasa hapa inakuaje?
Ufafanuzi tafadhali
 
Huyo magoma hata ashtui,hata ukisiliza hoja zake hazina maana zaidi ya njaa tu,eti na yy anataka atambulike 😀
Hiyo timu inaongoza kufitini timu nyingine.
Magoma yuko sahihi

MAULID KITENGE ALIVYOMUHOJI MZEE MAGOMA

Kwa Mujibu wa Mzee Magoma amesema ameamua kuwa mstari wa Mbele kutafuta Haki ya Klabu ya Yanga Kwa sababu anaona inaendeshwa kishkaji na Wanachama wengi wapo kimya hawalioni Hilo Kwa Sasa

Follow ukurasa wetu wa Instagram kuisoma zaidi hukumu hiyo ya mahakama 👇

.
@followers
#followers
#followers
#yangasc
#Wazee
#mzeemagoma
#HABARI
#Halisimediatz
#genzmemes
 
Back
Top Bottom