Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

Ameiba nini?
Hela za jezi,hela za mapato ya mlangoni,hela za mapato za caf.
Hakuna mapato wala matumizi,hesabu zote anajua yeye na genge lake,anapika hesabu n.k
Kiufupi GSM ni jipu ndo maana wazee wameamka.aondoke hatumtaki
 
Ndicho walichoenda kushitaki?
 
Mie sio mfuatiliaji wa boli ila hua nasikia mambo ya soka hadi mahakamani. Sasa hapa inakuaje?
Ufafanuzi tafadhali
Hapo haihusiani na mpira wa uwanjani(matokeo,malipo na usajili wa wachezaji)
Hapo inashitakiwa taasisi.
 
yanha.jpg
 
Ishu sio ya Mzee Magoma tena, ishu ni ya Mahakama. Kwa hiyo kukazia hukumu ya mahakama inaweza ikaja kampuni ya udalali kuondoa vitu vyote vya Hersi pale makao makuu
😁
 
Kuimba kupokezana, wakati Kilomoni analeta usumbufu Yanga ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi wakamkaribisha kwenye tafrija yao. Magoma akaribishwe kwenye Simba day.
Teh teh 😃 😃 noma sana
 
Hapo haihusiani na mpira wa uwanjani(matokeo,malipo na usajili wa wachezaji)
Hapo inashitakiwa taasisi.
Shukran Kwa ufafanuzi kiongozi. Kumbe ndio maana hata yule Rais wa FIFA alipigwa peksheni?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Uzuri siwaoni wana Simba wakishadia mambo ya uto...ingekua ndo Simba yani kina LABAN og wangeshinda humu na vi mada vyao vya kipuuzi kila dkk
 
Huyo magoma hata ashtui,hata ukisiliza hoja zake hazina maana zaidi ya njaa tu,eti na yy anataka atambulike 😀
Amenichekesha sana huyu mzee Swahiba. Mzee wa hovyo kabisa.

Asubiri kesho aone wazee wenye busara zao kesho wakizungumza tokea pale klabuni.
 
Back
Top Bottom