mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hela za jezi,hela za mapato ya mlangoni,hela za mapato za caf.Ameiba nini?
Ndicho walichoenda kushitaki?Hela za jezi,hela za mapato ya mlangoni,hela za mapato za caf.
Hakuna mapato wala matumizi,hesabu zote anajua yeye na genge lake,anapika hesabu n.k
Kiufupi GSM ni jipu ndo maana wazee wameamka.aondoke hatumtaki
Halafu kapaka wanja.huyo mzee ndo anavaa hivyo baragashia..😂
Wanataka timu yao itoke mikononi mwa bandit gsmNdicho walichoenda kushitaki?
Binafsi hata mimi Manara simuhitaji Yanga basi tu sina uwezo wa kumtoaInterview hii aliifanya siku za nyuma, sio mpya.
Hapo haihusiani na mpira wa uwanjani(matokeo,malipo na usajili wa wachezaji)Mie sio mfuatiliaji wa boli ila hua nasikia mambo ya soka hadi mahakamani. Sasa hapa inakuaje?
Ufafanuzi tafadhali
😁Ishu sio ya Mzee Magoma tena, ishu ni ya Mahakama. Kwa hiyo kukazia hukumu ya mahakama inaweza ikaja kampuni ya udalali kuondoa vitu vyote vya Hersi pale makao makuu
Teh teh 😃 😃 noma sanaKuimba kupokezana, wakati Kilomoni analeta usumbufu Yanga ndiyo walikuwa wanamshangilia hadi wakamkaribisha kwenye tafrija yao. Magoma akaribishwe kwenye Simba day.
Shukran Kwa ufafanuzi kiongozi. Kumbe ndio maana hata yule Rais wa FIFA alipigwa peksheni?Hapo haihusiani na mpira wa uwanjani(matokeo,malipo na usajili wa wachezaji)
Hapo inashitakiwa taasisi.
Yatafanyika NANE NANMkalibisheni hamja chelewa bado, vipi yale maandano ya kumng'oa Mangungu yaneishia wapi
Msiogoe shadadieni tu baadae lawama Mangungu tuachie timu yetuUzuri siwaoni wana Simba wakishadia mambo ya uto...ingekua ndo Simba yani kina LABAN og wangeshinda humu na vi mada vyao vya kipuuzi kila dkk
Mangungu ni babu yenu..anawakuwadia...Msiogoe shadadieni tu baadae lawama Mangungu tuachie timu yetu
Amenichekesha sana huyu mzee Swahiba. Mzee wa hovyo kabisa.Huyo magoma hata ashtui,hata ukisiliza hoja zake hazina maana zaidi ya njaa tu,eti na yy anataka atambulike 😀
😅😅😅huyo mzee ndo anavaa hivyo baragashia..😂
Kanjibhahi kapuyanga. 😅Mahakama kuna appeal,na hapo hamna kesi,mo aje kupambana kiume sio atafute Yanga dhaifu,ameshindwa kufanya alichofanya kwa manji ndio anawatumia hao wazee njaa
Kanji apendagi competition,anafanya kila ila Yanga pavurugike 😂Kanjibhahi kapuyanga. 😅
😅😅 akikujibu nitag Mkuu.Timu yako na nani?
Huyo anatumika na kanji,hana lolote swahiba 😂Amenichekesha sana huyu mzee Swahiba. Mzee wa hovyo kabisa.
Asubiri kesho aone wazee wenye busara zao kesho wakizungumza tokea pale klabuni.