SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
.Weka na ile ya mgeni aliyeshindwa kutaja chama kubwa akaishia kusema mambuziiii
Hahaha.......SAUTEti vyuo vikuu ulivyosoma alijenga BABAKO?
Acheni uzushi sasa mzee wa watu neema imependeleaa unataka akajificheMzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwandishi: Mzee Makamba nchi inakabiliwa na ukosefu wa maji na umeme, lakini wewe unasema mambo yako vizuri, hayo matatizoo.....
Mzee Makamba: Kwako nyumbani hauwaki?, kuwa na shukurani.
Mwandishi: Sawa, turudi kwenye hio point...
Mzee Makamba: Nakuambia nchi ni kama nyumba yako, hii nchi ni kama nyumba, huwezi kuwa na vyote humo nyumbani, una watoto 7, wanakwenda shule, huyu kaptura imechanika, huyu bado, huna hela utasema walimu subirini leo nimnunulie huyu, nchi ni kama nyumbani we nyumbani kwako umeyamaliza yote, baba yako ameyamaliza yote, mimmi sijayamaliza, unaitaka CCM iingie leo iyamalize, ni chama gani hicho? Kama haya huelewi hutaelewa ya mtu mwingine..
Mwandishi: Sawa tutu....
Makamba: Kuanza na neno lakini si sawa sawa, lakini ni kiungo cha ubishi, kama unajenga hoja jenga nini? usianze sentensi na lakini, lakini ni kiungo cha nini cha ubishi we hukusoma? nakuuliza hukusoma?
Mwandishi: Nilisoma.
Mzee Makamba: Mpaka wapi?
Mwandishi: Mpaka chuo kikuu.
Mzee Makamba: Umekijenga na baba yako?
Mwandishi: Sawa turud....
Mzee Makamba: Nakuuliza twende kwenye hoja, umesoma wapi?
Mwandishi: Matatizo ya nchi...
Mzee Makamba: Nakuuliza Twendeee kwenye hoja, umesoma wapiii?
Mwandishi: Kama katibu mkuu mstaafu...
Mzee Makamba: Nakuuliza swali hukusoma? hukusoma?
Mwandishi: Mzee Makamba labdaaa....
Mzee Makamba: Sisi miaka hio ya 60, tumeshinda vyuo vikuu hakuna, leo hii umekwenda chuo kikuu unasema nchi ina matatizo, umekijenga na baba yako?
Mwandishi: Mzee lakini mwanao analamba mno asali...
Mzee Makamba: Hio asali ulimnunulia?....
Mwandishi: lakini mzee?
Mzee Makamba: Twende kwenye hoja, hio asali ulimnunulia au ulikua unalamba nae?
Mwandishi: Lakini mzee, CCM ipo tangia mwaka 61, mpaka leo tunalia umeme maji....
Mzee Makamba: Kijana!!! Kijana!!! nitakunasa kofi... SHeenz umefunzwa kwenu hivyo eti eehh!!!
Mwandishi: Mzee Mwamvita yupo?
Mzee Makamba: Aisee hebu nishikieni kibaragashia changu kwanza na saa nimuoneshe huyu sheitwan....
Mwandishi: Mzee mbona tunasikia mwanao alinunua mitihani na alikuwa kiazi shuleni...
Watu wa pembeni: Jamani waachanisheni watauana.... afande, afande...
UVCCM mmoja: Aisee huyu mzee ana presha, presha imepanda iteni ambulance....
Mwandishi: Jamani mie huu mzee nilimheshimu kama mzee wangu tu, sijamgusa kaanguka mwenyewe....
Afande: Aroo uko chini ya urinzi......
SSH: Hilo nalo askari mkalitizame..
View attachment 2439144
Hata wew hata kama bab ako angekuwa ccm ungelamba asali tu mm siwezi mlaumu mzee wa watu wala kijana ake ni neema imetembeleaaBaba ni mlamba asali mkongwe, na mtoto ni mlamba asali. Lazima amtetee mwanae ili alambe asali. Kiufupi ccm ni kikundi cha walamba asali ambao wapo madarakani.
Eti bhna mtu siyo waziri alfu unaaenda kumuoji vitu asivyo vifahamuUnamuuliza maji na umeme mtu asiye Waziri wa nishati Wala maji!?
Yaani inashnagaza sna ,watanzani wana wivu mno mno mzee kaenda kweny mkutano mkuu wa chama chao alfu unaenda kumuhoji maswali ya kipuuziKwa hiyo kila anayeenda Dodoma unaweza muuliza lolote kuhusu serikali!?
Katibu mkuu mstaafuEti bhna mtu siyo waziri alfu unaaenda kumuoji vitu asivyo vifahamu
Mm ningekuta yule mzee ningemlamba makofi kama simalenga
Waandishi gani hawa wametoka vyio gani
Kwani huyo mzee ana hekima sasa!?ANAMTETEA MTOTO WAKE ila Mzee kaonyesha kutokuwa na HEKIMA wala BUSARA
Sasa kama sio Waziri kwanini alikubali kwenda kuojiwa na waandishi,Yeye ni katibu mkuu msitafu, hivyo bado chama kinamtumia kama mshauri, hauwezi tenganisha Serikali na CCM.Eti bhna mtu siyo waziri alfu unaaenda kumuoji vitu asivyo vifahamu
Mm ningekuta yule mzee ningemlamba makofi kama simalenga
Waandishi gani hawa wametoka vyio gani
Hivi na wewe ulifaulu dalasni?Unamuuliza maji na umeme mtu asiye Waziri wa nishati Wala maji!?
Tena unaweza kukuta Mgosi ndio alijipeleka kuhojiwa.na WaandishiSasa kama sio Waziri kwanini alikubali kwenda kuojiwa na waandishi,Yeye ni katibu mkuu msitafu, hivyo bado chama kinamtumia kama mshauri, hauwezi tenganisha Serikali na CCM.
Inabidi tu sasa mwanae alisema njooni mniue hapa alipoulizwa sana kuhusu umeme na kukauka vyanzo vya majiUnamuuliza maji na umeme mtu asiye Waziri wa nishati Wala maji!?
Kuramba asaliPale Dodoma amekwenda kufanya nini?
Ben Mkapa angewepo aiseeHii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku
Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...
Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Majamaa yana hesabu kali!yalipita nae.Ben Mkapa angewepo aisee