Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Uzee ni hekima lakini pale tumepigwaHabari ndugu zangu? Nimeangalia video hii ya Mzee Yusufu Makamba akihojiwa na ndugu Waandishi wa Habari ila nimeshangazwa na namna anavyojibu maswali kwa ukali na kushindwa kujibu maswali muhimu nimeshindwa kumwelewa huyu mzee nahisi kuna waya umekatika kichwani. N:B Baba na Mtoto hawaeleweki tatizo.
View attachment 2439385