Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

CCM siyo watu wa kuwaamini,na ndiyo wamelifikisha hapa hili taifa.

Hii ilikuwa mwaka 2013,miaka karibia kumi sasa(muongo mmoja),tatizo la umeme ni kubwa kuliko mwaka 2013. [emoji116]View attachment 2438780

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba angepewa miaka 10 pale nishati hakika kwasasa tungesahau mgao.
Huyu jamaa ninamheshimu sana.
Ndiye alirahisisha kufungiwa umeme ndani siku saba kivitendo
 
Hii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku

Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...

Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Aliibaje tena mtihani mzee
 
Nyie mnamshangaa Makamba bure tu, huyo mzee waga hana kabisa busara na nasikia zamani alikuwa ni mwalimu huko Kigoma na alimpa ujauzito mwanafunzi na ikabidi aingie mitini na kuacha kazi.

Huyo ndio Yusuf Makamba na historia haifutiki kamwe. Alitakiwa aende jela kabisa huyo.
 
Kwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!
 
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
aisee hii komenti hii...
imenifanya nilengwe na machozi
 
Yamjaayo mtu moyoni mwake ndiyo ya mtokayo.
Wisdom, wisdom, wisdom ni kitu kidogo Lakini ni silaha kubwa katika maisha ya ujana na uzee.

He should be forgiven but not forgotten.
Non-sense Kamba.
 
Usipoteze muda wako sana, Tanzania hatufwati meritocracy, hivyo anayefika juu siyo necessary the most intelligent one bali ni yule mwenye majungu, uongo, fitina, kuchonganisha watu na kujipendekeza aka uchawa, most of these people hawawezi kufanya interview ya kazi popote Dunia hii na hata kuingia tu kwenye mchujo wa kwanza, lkn kwetu wanaongoza nchi.

Hivyo tatizo ni mfumo wa Tanzania, msikilize mfano mtu kama T.Mbeki akiongea popote pale unajua huku ni head of state siyo kama hawa wetu lkn ndiyo hivyo wana power ya kuamua mstakabali wa mamilioni ya watu, so sad!
 
Kwa lugha ya jana alipohojiwa na amtusi aliyotoa, huyu mtu anjiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kamaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi ako!
Uko sahihi . Nikama vile hii inchi ni maliyao na kwamba tushukuru kwa kidogo wanacho tugawia na kwamba hatuna haja ya kuhoji pale mambo yaendapo ndivyo sivyo
 
Nazidi kuona wazi kwamba waswahili orijino ni wa pwani tu kwenye suala la kucheza na ulimi kwa busara na hekima.

Hao wa tanga ni majirani tu ni kama kuwa jirani na benki haimaanishi uwe na pesa kama benki
 
Hatuwezi kusonga mbele kama Taifa lina wazee washenzi namna ile. Bila 'kuwamaliza' vizazi vyao vitaendelea kututawala na kuona nchi hii ni mali ya watu wachache na waliobakia nje ya mfumo ni ng'ombe tu.
 
Back
Top Bottom