Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Habari ndugu zangu? Nimeangalia video hii ya Mzee Yusufu Makamba akihojiwa na ndugu Waandishi wa Habari ila nimeshangazwa na namna anavyojibu maswali kwa ukali na kushindwa kujibu maswali muhimu nimeshindwa kumwelewa huyu mzee nahisi kuna waya umekatika kichwani. N:B Baba na Mtoto hawaeleweki tatizo.​

View attachment 2439385

Uzee ni hekima lakini pale tumepigwa
 
Kwani Makamba umri wake kawazidi miaka mingapi Wakina Butuku, Warioba, Shivaji, Biden, Kikwete?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kuna kichapo cha Mungu
Kuna sukari
Kuna Karma za uovu kama ulikuwa umewatendea watu huwa inakuja kila mtu na namna yake..
Halafu maisha yake huwezi fananisha ya kikwete mzeee.
 
Kuna kichapo cha Mungu
Kuna sukari
Kuna Karma za uovu kama ulikuwa umewatendea watu huwa inakuja kila mtu na namna yake..
Halafu maisha yake huwezi fananisha ya kikwete mzeee.
Kwani sasa nchi ipo chini yao huduma yoyote akitaka anaipata ata sasa hivi akitaka kwenda Marekani kula lunch na kurudi inawezekana kwa kutumia kodi zetu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani sasa nchi ipo chini yao huduma yoyote akitaka anaipata ata sasa hivi akitaka kwenda Marekani kula lunch na kurudi inawezekana kwa kutumia kodi zetu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu tusitofautiane sana mbona nimekutajia fact nyingi hapo au hizo huzioni?
Huwezi Shambuliwa na sukari halafu ukawa sawa..Au hili nalo utabisha!?
 
huyu mzee Makamba sio kosa lake ni Dementia inamnyemelea kwahio kila mtu anamuona kama mtoto wake na anaweza akasahau vile vile alichoongea. ni kumsamehe buree tu.
 
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Mchango wako mzuri kweli, pengine huu ndio mkubwa, na hata reaction ya mzee pengine alimaanisha ilipaswa kuwa reaction yetu sote in response to the authorities.

Kuna mtu mmoja pia aliwahi sema hali ikiendelea hivi wafanyakakazi wa shirika la umeme wakiwa kwenye magari wataanza kupokea reactions ya matendo yao to the best.

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom