melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Mzee Makamba kanenepa na kupata nguvu ya kujibu hovyo baada ya JPM kuaga dunia na mwanae kupewa uwaziri
Unaona ehh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Makamba kanenepa na kupata nguvu ya kujibu hovyo baada ya JPM kuaga dunia na mwanae kupewa uwaziri
Mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye.
Mwana kilaza ni mzigo kwa babaye.
Over, over - sema utasikia vichekesho vingine kama matakwa ya katiba mpya, mikutano ya siasa nkMachafuko tu ndio njia ya kutoka hapa tulipo.
Usimalize maneno.....wanasiasa hao....lolote laweza kutokea....Hii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku
Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...
Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Weka na ile ya mgeni aliyeshindwa kutaja chama kubwa akaishia kusema mambuziiii
Cheeky,Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
President to beCheeky,
Hawa wazee kibri yao huwa inapitiliza kumbuka:
Ditople alimuwasha risasi Mbonde kwa sababu tu ya foleni ya magari; na mkuu JK akampa dhamana
Halafu kuna Mzee alikuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya alimuwasha risasi kidosho/sijui mke mdogo this was Kissoky
Wanafanya wanavyotaka kwa sababu wanahodhi sheria
Hii inatokea kwenye Banana Republics; halafu eti watu wanapiga kura CCM
January sasa hivi untouchable!!
Acha upuuzi na wewe ina maana kwa vyeo vya Mzee makamba alishindwa kujibu lile swali kweli?usipende sana kutetea ujinga utakuja liwa ndogo Mzee wa kuinamauswekweKwa hiyo kila anayeenda Dodoma unaweza muuliza lolote kuhusu serikali!?
Hii mizee yote inaelekea mwishoMzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
😀😀😀😀😀Mzee ameonesha kiburi, jeuri,
Hapa mpuuzi si wewe kweli!?Acha upuuzi na wewe ina maana kwa vyeo vya Mzee makamba alishindwa kujibu lile swali kweli?usipende sana kutetea ujinga utakuja liwa ndogo Mzee wa kuinamauswekwe
Yaani mwanae waziri ulitaka atoe mawazo inje ya hapo! Hivi hata ungekuwa ni wewe ungeweza!?.
.ujue watu tunalaumu hatujui utamu was madaraka!
Laiti kama ungeonjeshwa na wewe usingeacha kusifu! Madaraka ni matam asikwambie mtu!
Mambo mengi ni bure bure tu!
Ingekuwa mafichoni Mzee angemkata kibao mwandishi
Kwa akili yako nyembamba. Makamba anajibu maswali kisomi??Acha upuuzi na wewe ina maana kwa vyeo vya Mzee makamba alishindwa kujibu lile swali kweli?usipende sana kutetea ujinga utakuja liwa ndogo Mzee wa kuinamauswekwe