Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Dikteta alivyokuwa ana wakimbizi mchaka mchaka walimuona mjinga

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!

Duh jaman vijana tutumie lugha mzuri kidogo
Kumwita Mzee hivi mbuzi sio fair
 
Kosa la uongozi wa awamu ya 5 ni kutokumaliza wahuni
Kosa kubwa sana alilofanya Magufuli kudili na watu ambao hawana Mazala na nchi na kuacha watu wenye Mazala na nchi, Magufuli alitakiwa awashugulikie awa wazee na watoto wao leo hii wasingekuwepo kwe madarak, Sasa Magufuli akaanza kudili na wapinzani wa uongo na kuwaacha wapinza wa maendeleo ya nchi wakiwa huru, leo hii wanatesa na kutamba tu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mbaya zaidi ni wanachama wenzake wa ccm wanacheka wakimaanisha mzee yupo sahihi ila muandishi ndio amekosea. Upumbavu kama huu ndio unanifanya nisipoteze muda wangu kwenye siasa na kupiga kura.
Na bado naendelea kuamini sisi watz tuna laana.
 
Back
Top Bottom