jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Dikteta alivyokuwa ana wakimbizi mchaka mchaka walimuona mjingaMzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app