Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

MAJIBU kama yale yamezuia uwezekano wa mwanae kuwa Rais wa Uganda!

Deep state haiwezi kubali kupitisha kijana anaetetewa ujinga na BABA YAKE!
 
Machafuko tu ndio njia ya kutoka hapa tulipo.
Over, over - sema utasikia vichekesho vingine kama matakwa ya katiba mpya, mikutano ya siasa nk
Kupoteza muda na kulambishana asali tu
 
Hii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku

Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...

Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Usimalize maneno.....wanasiasa hao....lolote laweza kutokea....
 
Yaani mwanae waziri ulitaka atoe mawazo inje ya hapo! Hivi hata ungekuwa ni wewe ungeweza!?.

.ujue watu tunalaumu hatujui utamu was madaraka!
Laiti kama ungeonjeshwa na wewe usingeacha kusifu! Madaraka ni matam asikwambie mtu!
Mambo mengi ni bure bure tu!
 
Jinsi anavyousoma huu uzi

IMG_20221208_061452.jpg
 
Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Cheeky,
Hawa wazee kibri yao huwa inapitiliza kumbuka:
Ditople alimuwasha risasi Mbonde kwa sababu tu ya foleni ya magari; na mkuu JK akampa dhamana
Halafu kuna Mzee alikuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya alimuwasha risasi kidosho/sijui mke mdogo this was Kissoky
Wanafanya wanavyotaka kwa sababu wanahodhi sheria

Hii inatokea kwenye Banana Republics; halafu eti watu wanapiga kura CCM
January sasa hivi untouchable!!
 
President to be
 
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Hii mizee yote inaelekea mwisho
 
Yaani mwanae waziri ulitaka atoe mawazo inje ya hapo! Hivi hata ungekuwa ni wewe ungeweza!?.

.ujue watu tunalaumu hatujui utamu was madaraka!
Laiti kama ungeonjeshwa na wewe usingeacha kusifu! Madaraka ni matam asikwambie mtu!
Mambo mengi ni bure bure tu!

Mkuu madaraka yapo hapa Tanzania tu? Mbona tunaona Kenya au Zambia hapo hakuna huo upuuzi wa kusifu kijinga?
 
Acha upuuzi na wewe ina maana kwa vyeo vya Mzee makamba alishindwa kujibu lile swali kweli?usipende sana kutetea ujinga utakuja liwa ndogo Mzee wa kuinamauswekwe
Kwa akili yako nyembamba. Makamba anajibu maswali kisomi??

Nipe Crip inayoonesha makamba aliukizwa swali akajibu Kwa hekma. Kama sio Kwa methali,ngonjela na vitendawili
 
Back
Top Bottom