Huyu mwamba angepewa miaka 10 pale nishati hakika kwasasa tungesahau mgao.CCM siyo watu wa kuwaamini,na ndiyo wamelifikisha hapa hili taifa.
Hii ilikuwa mwaka 2013,miaka karibia kumi sasa(muongo mmoja),tatizo la umeme ni kubwa kuliko mwaka 2013. [emoji116]View attachment 2438780
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Aliibaje tena mtihani mzeeHii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku
Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...
Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Hii kali sana.. Mambo ya asali haya
umeona eh! linaona kama yeye na samia na mwanawe ndio wamiliki wa nchi!Zee linaona nchi ni yake
aisee hii komenti hii...Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Wewe au makamba?Huna akili
Chawa kama chawaHuna akili
Jikite kwenye hoja iliyopo mezani, hata kama una maslahi na huyo Makamba, na pia hicho chama chako cha mambuzi.Huna akili
Uko sahihi . Nikama vile hii inchi ni maliyao na kwamba tushukuru kwa kidogo wanacho tugawia na kwamba hatuna haja ya kuhoji pale mambo yaendapo ndivyo sivyoKwa lugha ya jana alipohojiwa na amtusi aliyotoa, huyu mtu anjiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kamaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi ako!
Ofcourse wewe ni mmoja wa UVCCM wa ovyo kabisa kazi kusifia kulinda tumboHuna akili
Niliindoa like yangu haraka sana😂😂Mimi nimetoa love kabisa nilijua ni kile chama cha watu wa Magu