huyu bado tunamlipa Kodi zetu lazima tuulize chochote tunachotakaKwa hiyo kila anayeenda Dodoma unaweza muuliza lolote kuhusu serikali!?
Hawa ndio adui zetu. Yani wao hawana uchungu na nchi yao kuwa wajukuu zao watakuja kuwaje.posho ya siku moja inamsahaulisha ambayo hata yeye atanufaika nayo.polisi
Bora hata angegusa. Kapiga kabisa mshono.Mzee mtata kweli,mwandishi anagusa kwenye mshono
😂Watu weusi tupo kama duplicate, nina mashaka hatukuumbwa sawa na wenzetu wengine..
Bora hata kupiga, mwandishi alifumua kabisa mshonoBora hata angegusa. Kapiga kabisa mshono.
Viongozi wa nchi hii wana mentality kwamba wanayoyafanya ni hisani na huruma yao kwa wananchi ndio maana anasema kuwa na shukrani kama vile kinachofanyika ni msaada na huruma.Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Hahaha hana shida kwake kuna generator automatic umeme ukikataa linajiwasha tu na hata hivyo nadra kukatika maana line yake ni ya kiwanda cha wazo kwa maji na umemeLizee hilk busara zero kabisa sababu ya kuvimbiwa asali
Ndio hekima ya viongozi wetu, kwa stahili hii....hatufiki.Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
hahaaaaa!Bora hata kupiga, mwandishi alifumua kabisa mshono
Baba na Mwana..Unagusa madudu ya mwanawe unategemea nini? Akupigie makof?
Unategemea Membe atatofautiana na msoga team captain?Tunaomba jamani chama chetu cha "Umoja party", kisajiliwe mapema tuanze kazi ya kuwakomboa wananchi kabla nchi hii haijazama.
Sasa mafichoni kama mimi ni mwandishi si namng'oa mzee taya, unampa mzee kichapo hadi anasahau kama yeye ni ccmIngekuwa mafichoni Mzee angemkata kibao mwandishi