Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

CCM siyo watu wa kuwaamini,na ndiyo wamelifikisha hapa hili taifa.

Hii ilikuwa mwaka 2013,miaka karibia kumi sasa(muongo mmoja),tatizo la umeme ni kubwa kuliko mwaka 2013. [emoji116]
IMG_20221207_172341.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Watu weusi tupo kama duplicate, nina mashaka hatukuumbwa sawa na wenzetu wengine..
😂
Nahisi kuna cell zilipungua kwenye ubongo. Maana wazungu toka 500BC washastaarabika. Akina periplus of the ethrean sea na vasco da gama wamekuja afrika masharikia mwaka 1400 huko. Sisi hata mababu zetu kwenda ulaya kusurvey hawajawahi kwenda 😂😂
 
Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Viongozi wa nchi hii wana mentality kwamba wanayoyafanya ni hisani na huruma yao kwa wananchi ndio maana anasema kuwa na shukrani kama vile kinachofanyika ni msaada na huruma.

Sema huyu mzee ukimkuta kitaa mtu poa sana hasa timu yake ya mpira ikifunga
 
Lizee hilk busara zero kabisa sababu ya kuvimbiwa asali
Hahaha hana shida kwake kuna generator automatic umeme ukikataa linajiwasha tu na hata hivyo nadra kukatika maana line yake ni ya kiwanda cha wazo kwa maji na umeme
 
Back
Top Bottom