TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kapanick mpaka kajistukia mwenyewe, kapoa na kujichekesha.
Mipango ya kwenye makaratasi ipo na ni mikubwa na yenye kuvutia kwelikweli, utekelezaji ni kitu kingine 🥴CCM siyo watu wa kuwaamini,na ndiyo wamelifikisha hapa hili taifa.
Hii ilikuwa mwaka 2013,miaka karibia kumi sasa(muongo mmoja),tatizo la umeme ni kubwa kuliko mwaka 2013. [emoji116]View attachment 2438780
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Itafika kipindi hata hao polisi wataona ni ujinga kuiba na kupiga wananchi kisa kura ambapo watawala wakija tunapata tabu wote.Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Mzee mpumbavu sana huyuYusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Mlamba asali ukimletea shubiri anakuwa mkali kama shubiri yenyewe, hawa ndio wenye nchi bana wao na watoto waoYusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
😀Ukisema ulijibu ipasavyo lazima upoteane. Dawa ni kuvuruga vuruga tu
Mimi Magu alinifurahisha sana kuwaziba midomo hawa mbuzi wazee.This jizee is bladifakeni
"viongozi wanaona sifa kuwa na shida" !!Afrika bado sana mungu tusaidie, yaani matarajio yapo chini sana na bado viongozi wanaona sifa kuwa na shida.
Alafu huyu mzee anabwabwaja tu ....JPM angempoteza tu huyu kilaza.Nmeingia tu mitaa ya kinondoni hakuna umeme ...
Ova
Mkuu alitaka kummeza mwandishi wa habariIngekuwa mafichoni Mzee angemkata kibao mwandishi