Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

CCM siyo watu wa kuwaamini,na ndiyo wamelifikisha hapa hili taifa.

Hii ilikuwa mwaka 2013,miaka karibia kumi sasa(muongo mmoja),tatizo la umeme ni kubwa kuliko mwaka 2013. [emoji116]View attachment 2438780

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mipango ya kwenye makaratasi ipo na ni mikubwa na yenye kuvutia kwelikweli, utekelezaji ni kitu kingine 🥴
 
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Itafika kipindi hata hao polisi wataona ni ujinga kuiba na kupiga wananchi kisa kura ambapo watawala wakija tunapata tabu wote.

Now umeme unakatika iwe kwa polisi au raia
Now asilimia 23 hawajaongezewa polisi wala raia
Mfumuko wa bei na ugumu wa maisha uko kwa polisi na rais hivyo hakuna jipya watajifunza jambo hivi karibuni
 
07 December 2022
Dodoma, Tanzania

Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba ageuka mbogo aliyejeruhiwa



Ni kutoka katika mkutano mkuu wa 10 wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Tanzania leo Desemba 7, 2022.
Source : mwananchi digital
 
Back
Top Bottom