Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Naona Ile tafsiri ya kauli yake Kwa watu inamuumiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mzee aliongozwa na ujinga uliopita kiwango kutamka jambo hili huku akitolea mifano ya watu waliohaiHivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Hii ni maana halisi (ya kifalsafa) ya huo msemo. Lakini sio maana aliyomaanisha mzee MaROPE alipoongea katika mazingira na muktadha alipoongea.Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
. alikuwa anamaanisha Marais wazuri hawafii madarakani sababu watu wengi wanawaombea na Mungu anawasikiliza.....Wauaji wanakufa mapema sababu Mungu hapendi uonevuHivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Alitolea mfano kinana na kikwete..je wana legacy ipi? Na je wamekufa tayari?Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Alifanikiwa kumroga adui yake na kumuua ndo maana alijitapa kuwa watu wema hawafi harakaHivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Hakumaanisha hivyo.Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Uongo, tafuta clip yake YouTube uisikilize vzr.Katika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki
Mfano tazama katika familia yako utapata jibu
Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.
Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo .
Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
Kurogwa? Pacemaker inaweza kuharibiwa electromagnetically..Alifanikiwa kumroga adui yake na kumuua ndo maana alijitapa kuwa watu wema hawafi haraka
Kabisa mkuu, najua kuna watu wanashupaza shingo kutafsiri wanavyotaka wao kwakuwa aliyetoa wanamchukia lakini nafsini mwao wanajua ukweli.uzi ufungwe hakuna tena jibu bora kama hili
Kajima Guest House Mwananyamala ina historia Kubwa 🐼
Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Kabisa mkuu, watz wengi sana ni wapumbavu......inasikitisha kuwaona wamejaa humu tele. Wengine wanatiwa upumbavu na chuki na ufuasi wao.Hii ilikuwa kauli ya kifalsafa ila kwasababu watanzania wengi ni wapumbavu ndio maana wameshindwa kuielewa.
Aliombewa msamaha na Rais wa JMT 😄Hii ilikuwa kauli ya kifalsafa ila kwasababu watanzania wengi ni wapumbavu ndio maana wameshindwa kuielewa.
Ni Kimulimuli Jazz Band chini ya Zahir Zorro katika ile kitu 'Chiku lala salama'"Tumekubali yanayosemwa na watu. Ni kweli! Wanaopendwa na watu siku zote, hufa angali vijana" -Vijana Jazz
Huyu si ndo Maguire, huoni hapo ubungo na mbeziWazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Yeah, mama Samia anaelewa kuwa kuna mipumbavu pomoni hivyo aliamua kuipumbaza zaidi kidogo.Aliombewa msamaha na Rais wa JMT 😄