Yule Mzee hata Mimi nikimsamee bure. Ila asirudie tena hajui tu aliitoa kipindi Watanzania tunafikikilia wakuja kuwatetea Wanyonge, atakayeweza Kuisimamia Miradi Mikubwa ya Kimkakati Mfano Bwawa la Mwalimu Nyerere, Miradi ya Barabara n.k.
Na nilimsamehe hasa baada ya Kumuona Rais wa awamu ya Sita kugundua kauli yake ilikuwa ya Kichawa zaidi na Siyo ya Kibinadamu wa Kawaida (Ilimuuma Mtoto wa Mke wake Kutumbuliwa awamu ya 5), nilimsamehe baada ya Kauli yake ya Ovyo kufunikwa na Utendaji wa Serikali ya awamu ya Sita, nikimsamehe baada ya Kugundua umri umeenda wa yule Mzee, nilimsamehe baada ya Kugundua Mzee hakisei ila anashauriwa na akishauriwa anaelewa na mambo Mengine yanendelea, nilimsamehe Jamani na Nawaomba tumsamehe si tunaona Kazi inaendelea na Mengine Serikali inaendelea kuboresha.
Nb: Mzee Wetu Tumsamehe Jamani amekosa sana na alikosea kwelikweli. Watanzania tuna legacy ya kuendeleza Mazuri na ya Ovyo huwa tunayapotezea.