Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Uzee mkuu. Kila mmoja anazeeka kivyake vyake.Ulichokifanya mkuu ni kuni 🤣🤣🤣
Asante nimeongeza siku za kuishi aisee
Ila Mzee Makamba, alikosea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzee mkuu. Kila mmoja anazeeka kivyake vyake.Ulichokifanya mkuu ni kuni 🤣🤣🤣
Asante nimeongeza siku za kuishi aisee
Ila Mzee Makamba, alikosea sana
Hebu kwanza niorodheshee wanafamilia au wana ukoo wake waliofariki, tuanzie hapo kwanza.Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Wewe si tu kwamba ni mpumbavu, bali ni zwazwa piaUnaweza kudhani wewe mwerevu kumbe ndiye mpumbavu.
Kama asingetoa mifano ya walioko hai kwamba," wazuri hawafi ndiyo maana fulani na fulani hawajafa".
Hayo maelezo yange-make sense na wala asingeombewa msamaha hadi na Rais.
Mnatetea ujinga tu.
Hiyo mizani unailinganisha na yupi?Watu wanaangalia mzani unazidi upande gani.
Kwa umri wake yupo katika hatua ya kusema ukweli tuuu. Ubongo wake hauna nafasi tena ya unafiki: toka mwenda zake aondoke familia yake ilionesha kukerwa na uwepo wake kwa hiyo walisherehekea kuondoka kwakeUlichokifanya mkuu ni kuni 🤣🤣🤣
Asante nimeongeza siku za kuishi aisee
Ila Mzee Makamba, alikosea sana
Mm sijaongelea hayo mm nimemuuliza huyo aliye uliza kuwa kikwete ana legacy gani ndani ya nchi hii.Hizi ni akili za kimaandazi tu! Kama mtu mzuri hafi inalenga watu waliokufa na wakaacha legacy, ilikuwaje mzee wako Makamba akataja ambao hawajafa? Kwa nini hakuwataja kina Nyerere?
Mzee wako alitamka neno la kijinga
Umesha paniq mkuuWewe si tu kwamba ni mpumbavu, bali ni zwazwa pia
Kwahiyo unataka kusemaje?Sasa wewe unaishi ukisubiri RIP ya mwingine na yako hujui ni lini? Kuna ajali ishaua watu huko barabara ya bagamoyo, daladala na lori zimegongana. Watu wamekufa ambao hawakufikiri kuwa siku yao ni siku ya leo.
Mbona alitoa mfano kuwa JK wa msoga ni mzuri hajafa,:Usipoteza maana, ya yule mzee wa kuropoka kama mwanawe. Nasikia huyu mzee, alikuwa mcheza ngoma na baba yake nape alikuwa mwimbaji jeshini. Ndio maana vichwa, vya, watoto wao havipo kisomi. Vipo kichawa na kimajungu.Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Mtendaji mwenyewe, mabaya na mazuri yake.Hiyo mizani unailinganisha na yupi?
Huu uzi ume editiwa, hata sijui munaongelea nini ama munamuongelea nani, jana wakati unapostiwa Uliuliza tu maana ya neno "wazuri hawafi"Mbona alitoa mfano kuwa JK wa msoga ni mzuri hajafa,:Usipoteza maana, ya yule mzee wa kuropoka kama mwanawe. Nasikia huyu mzee, alikuwa mcheza ngoma na baba yake nape alikuwa mwimbaji jeshini. Ndio maana vichwa, vya, watoto wao havipo kisomi. Vipo kichawa na kimajungu.
Nashangaa maneno ya Mzee Makamba kupindishwa hii ndio ilikuwa maana yakeWazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Siasa hiyo. Kauli ya mwanasiasa hata research study haziwekwi.Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Ratiba za RIP ni random. Usisubiri za wengine iwapo upo kwenye list.Kwahiyo unataka kusemaje?
Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Hii kauli inamtafuna mnoAlipotea hewani baada ya hiyo kauli, na sisi tupp standby kuona yeye ni mzuri au ni mbaya
Ya kwamba Kikwete miaka 10 ya uongozi wake hakuna chochote kizuri alicho ifanyia Tz?legacy ya kikwete labda urais lkn tukesema kaacha arama gani kwenye urais ni hamna alichoacha,
Hii ilikuwa kauli ya kifalsafa ila kwasababu watanzania wengi ni wapumbavu ndio maana wameshindwa kuielewa.
Hawez kujadili wazur hawafi bila kumkoti bingwa wake mzee Makamba. Ukisha mkoti unajadili vizuri sana content zake. Kwan kabla ya yeye kusema, huo utumbo wake, hakuna aliyesema ujinga huo. Lakin kama na ww ni chawa wake, kuwa waz tu. Wazur hawafi.Huu uzi ume editiwa, hata sijui munaongelea nini ama munamuongelea nani, jana wakati unapostiwa Uliuliza tu maana ya neno "wazuri hawafi"