Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Katika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki
Mfano tazama katika familia yako utapata jibu
Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.
Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo .
Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
"Watu wazuri hawafi. NDIYO MAANA KINANA BADO YUPO, JAKAYA BADO YUPO ANADUNDA".
Angalia jinsi alivyohitimisha hiyo kauli yake. Hapo ndipo shida ilianzia. Mzee alipotokwa kuongea vile mkuu.
Angeishia tu kwenye "wazuri hawafi" basi, nadhani isingeleta shida.
-Kaveli-