Alisahau kama "the good die younger"Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
unahakika unaongea mtu au ghost?Ratiba za RIP ni random. Usisubiri za wengine iwapo upo kwenye list.
ulihitajika kuonyesha legacy pekee ya uyo aliekuwa kiongoz wako na sio compare na na mtu mwingine .Acha uzwazwaYa kwamba Kikwete miaka 10 ya uongozi wake hakuna chochote kizuri alicho ifanyia Tz?
Bila Kikwete kuanzisha mradi wa umeme vijijini wa REA bibi yako huko kijijini angekuwa anajua hata balbu ya umeme inafananaje?
Bila kikwete kuanzisha sera ya elimu kwa wote kwa kuanzisha shule za kata ww mtoto wa mlala hoi ungejua hata radha ya elimu inafananaje?
Hapa Tz kuna kiongozi aliye jenga km nyinyi za barabara kumzidi kikwete?
Huo umeme mlio kuwa mnamsifu kuwa haukatiki asilimia 65 ya vyanzo vyake si vilijengwa na huyo kikwete?
Kipindi cha kikwete ndo wakati ambao watz wengi masikini walijikwamua kwenye umasikini.
Hayo ni machache tu yapo mengi.
Mradi pekee wa maana ulio anzishwa na Magufuri ulikuwa ni hili bwawa la Nyerere tu mingine yote ilikuwa ni miradi ya hovyo na isiyo kuwa na manufaa yeyote kwa raia wa kawaida wa Tz zaidi ya manufaa ya kisiasa.
Yaani badala uchukue fedha uongeze mzunguko wa fedha mitaani ili urahisishe maisha ya masikini mitaani ,dabala yake una somba pesa kwa hao masikini na kwenda kununua ndege na kwenda Dodoma kujenga ikulu na majengo ya matrion ya fedha, alafu unajiita rais wa wanyonge.
Kuna lenye ushahidi kwenye hayo maandiko mkuuNdiyo mkuu siyo wote watakaoonja mauti...Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kikristo
Yupo kwanza sasa hivi? Tuanzie hapo kwanza.Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Kuna lenye ushahidi kwenye hayo maandiko mkuu
Mzee Makamba aliongea kiroho zaidi. Watu wazuri wajapokufa (kimwili), wametoka mautini kuungia uzimani ambapo hudumu milele. Watu wabaya hufa (kimwili) na hufa tena kiroho. Nilimwelewa hivyo!Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Unakumbuka wenza wa Mahayati walisusa hafla ya kubonyeza kitufe kule Stiglers!!! Akaibuka mke wa chekibob mmoja akasema wajane wawe wanapewa mamilioni, hii statement ni janjajanja ya kuwapooza wajane maana walijua walichofanya hakikuwa na afyaHivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Utetezi wa kijinga tu huu,angemaanisha hivyo asinge taja majina ya watu walio hai kuthibitisha Hilo la wazuri hawafi,huyu Mzee ni muhuni na anazeeka hivyo labda ajitokeze atubu kuwa alikosea lkn siyo kwa utetezi huu mwepesi.Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Alafu akatoa mfano wa watu walio hai. Wewe mwanafunzi mzuri unaelewa zaidi ya anachoongea mwalimuMzee Makamba aliongea kiroho zaidi. Watu wazuri wajapokufa (kimwili), wametoka mautini kuungia uzimani ambapo hudumu milele. Watu wabaya hufa (kimwili) na hufa tena kiroho. Nilimwelewa hivyo!
Mwache Mzee Makamba apumzike!Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
"Mtanzania mpumbavu ni yule asiyeweza kutafsiri uhalisia akalazimisha nadharia"Kabisa mkuu, watz wengi sana ni wapumbavu......inasikitisha kuwaona wamejaa humu tele. Wengine wanatiwa upumbavu na chuki na ufuasi wao.
KAJIMA na KONOIKE ndiyo waliojenga Barabara ya Morogoro enzi za nyerere.
Hii ni historia ya mlolongo wa ujenzi wa barabara mbili Dar es salaam.Jangwani na Selender 😄😄
Sio kweli hakuna na maana hiyo kutokana na kauli aliyomaliza nayo, alisema mcheki kinana anadunda tu, halafu rais alikuja kusawazisha aliyopewa micWazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
"Na msidhanie wale waliokufa ktk njia ya Allah kwamba ni mfu, (la hasha) bali wapo hai mbele ya Mola wao wanaruzukiwa."Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?