Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Chige leo umeamka vibaya sana. Pole sana mkuu.

Rushdie ni muislam halisi kwa maana ya kuzaliwa kwenye familia ya kiislam na kukuzwa kwenye tamaduni za kiislam. Mzee Makamba ni muislam pia, lakini haikatazwi kwa mkristo kutumia vifungu vya quran kwenye kujenga hoja fulani. Hali kadhalika haikatazwi kwa muislam kujenga hoja zake kwa kutumia vifungu vya Biblia.
 
Sijaamka vibaya lakini madai yako kwamba nina msimamo mkali simply because nimekuhoji hayana maana. But anyway, twende moja kwa moja kwenye hoja ya Uislamu halisi! Kwanza, kukuzwa kwenye Uislam sio hoja hata kwa 1%...!!!

Binafsi nimezisoma dini zote tatu maarufu kama Dini za Kitabu! Dini zote hizi zina misingi yake na kuna kitu kingine kinaitwa Article of Faiths for all religions... Google Muslim Article of Faiths!

Linapokuja suala la misingi, Waislam wanaita NGUZO... nguzo ya kwanza kabisa ni ku-declare hapana Mola apaswae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Kwahiyo mtu yeyote asiye Mwislamu, anapoingia kwenye Uislam, jambo la kwanza kabla ya yote ni kutoa hiyo declaration hadi moyoni. Nguzo 4 zilizobaki ni kufunga (ramadhan), kuswali sala 5, kwenda Hijja, kutoa zaka!

Lakini hata ukifanya yote hayo bado kwa sababu, pamoja na NGUZO kuna IMANI ambazo zinapatikana kwenye article of faith. One of those article of faith ni KUAMINI MITUME YA MWENYEZI MUNGU NA VITABU VYAO! It doesn't matter ikiwa wanachoamini ni sahihi au wrong... that's why inaitwa IMANI! Waislamu wanamchukulia Yesu ni Mtume na ndio maana kwa wanaoifahamu dini, huwezi kuwasikia wakimkashifu Yesu... NEVER! WHY? Itakuwa wanakiuka moja ya imani za Uislamu!

Turudi kwa Salman Rushdie! Yeye anadai Quran ni Aya za Shetani! Waislamu wanaamini kwamba Quran ni neno la Mungu! Sasa ikiwa Rushdie anaamini Quran ni Aya za Shetani, hii maana yake Mungu (Allah) ni shetani! What about Muhammad aliyetangaza hiyo Quran ya "shetani?" Automatically, na yeye ni shetani! Kwahiyo hapa Sulman Rushdie sio tu anaikana IMANI ya kuamni mitume wa mwenyezi mungu na vitabu vyao (according to Islam) lakini pia, Mungu mwenyewe kwake ni shetani na moja kwa moja anauvunja MSINGI MKUU wa Uislamu kwamba Hapana Mola Apaswae Kuabudiwa kwa Haki Ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Ni sawa sawa na leo

REMEMBER. it's not about whether Rushdie is right or wrong but it's all about what Muslims believe bila kujali ni sahihi wanachoamini au hapana!

Chukulia Ukristo kwa mfano, moja ya Imani kubwa kabisa ni Kuamini katika Mungu, Baba wa Milele, na katika Mwanawe, Yesu Kristo, na katika Roho Mtakatifu. Na ipo nyingine inayoaminisha Biblia kuwa ni neno la Mungu.

Sasa haiwezekani aje mwingine aseme Utatu Mtakatifu ni ushetani na Bible nayo ni neno la shetani halafu ukasema huyo nae ni Mkristo Halisi simply because amezaliwa na kukulia kwenye familia ya kikristo!

Hata kama anaweza kuwa sahihi, lakini hawezi kuwa Mkristo halisi kwa sababu anachoamini yeye ni tofauti na Imani ya Ukristo inavyosema!!!!

Huyo moja kwa moja ata-fit kwenye Uislamu au Uyahudi kwa sababu hao ndio hawaamini katika Utatu Mtakatifu!!! Sawa na Rushdie anavyoweza ku-fit kwenye Ukristo au Uyahudi kwavile articles of faith za dini zote hizo zinatafsiri kwamba Quran ni aya za shetani na kwa maana nyingine hata inayeaminika kaitoa (Allah) nae atakuwa shetani!
 
Mkuu Chige nimekusoma kwa kina, Jumapili njema popote ulipo.
 
Wapi nimesema habari za Quran na Biblia? Wapi nimezungumzia suala la hatimiliki ya vitabu? Umetoka nje ya mada; kama hukuelewa swali ulitakiwa kuuliza manake yote uliyoongea wala hayajibu swali ina maana Muislamu halisi ni ile kukuzwa katika dini ya Uislam? Lakini usijali, nimefuatilia mjadala wako na @ chige hapo na nimepata jibu tosha.
 
Pengo ni Mungu?
Ustaadh Swalehe, Pengo ni mwakilishi wa kundi kubwa sana la wakatoliki hapa nchini. Sio Mungu sio malaika, ni mtu mzima kiumri na mwenye kustahili heshima.

Uhuru wa mtu kuanzisha kanisa sio kigezo cha kutukana watu ambao kimaadili unapaswa kuwaheshimu. Ndio maana laana hutoka kwa mkubwa kwenda kwa mdogo na sio kinyume chake.
 
Na makonda ana laana ya kumpiga Mzee Warioba Na kumtukana Lowassa
 
Gwajima hana heshima
Ondoa mapovu hapa, onyesheni vyeti, mnapenda heshima ya woga wakati hata mheshimiwa Rais alisema utasikia mtu anaitwa mheshimiwa lakini kumbe ana vyeti feki, acha maneno weka vyeti mezani
 
Gwajima hana heshima


Si kweli, Gwajima heshima anayo kama hajanywa viroba vyake na kubugia unga pamoja na kupuliza maduduwasha yake anayoyauza. Akiwa hajanywa viroba na kubugia unga huwezi juwa kuwa ni Gwajima maana anahamkia kila mtu hata watoto wadogo, kosa tu aonje viroba na kubugia unga wake. Nafikiri laana yake ndiyo hii, yaani haruhusiwi kuonja hivyo vitu.
 
Habari ya mujiiiniiii kwa sasa ni Bashite alete vyeti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…