Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
- Thread starter
- #241
Chige leo umeamka vibaya sana. Pole sana mkuu.We jamaa sikujua kwamba ni hewa kiasi hiki? Nimekuuliza swali, Muislam halisi ni yupi? Kama huna jibu piga kimya kuliko kuongea mambo ya hovyo? Niwe na kinyongo na wewe kwa kipi? Au hujazoea kuwa criticized? Do you think I give a shit about these religions? Na hata kama leo nikifa, am certain, kama kweli moto upo, basi naenda moja kwa moja motoni cuz' I don't believe in a lot of things na hizi dini! You wanna know what I ever said before about these religions? One of my comments hii hapa:
So, it's shame to you mtu kuku-criticise unamuona eti ana msimamo mkali!! Hujazoea kuwa criticised sio?
Lemme say this: Imani yangu ni haba but that doesn't mean I don't know what Jews, Christians and Muslims believe kwa sababu I usually read anything coming along... I love reading! I know Articles of Faiths for Jews, Christians and Muslims na ndio maana nikashangaa hoja yako... nikahoji ili nifahamu huenda you've different understanding! Kinyume chake; badala ya kujibu, "oh msimamo mkali utakupa vidonda vya tumbo!" Na hapo nime-highlight with RED kuonesha it's all about IMANI whether is TRUE or NOT but that's what's believed!!
Kwahiyo, ukiulizwa swali na hauna jibu kuwa wazi kuliko kuleta hoja zisizo na kichwa wala miguu zinazobebwa na hisia!!!!
Rushdie ni muislam halisi kwa maana ya kuzaliwa kwenye familia ya kiislam na kukuzwa kwenye tamaduni za kiislam. Mzee Makamba ni muislam pia, lakini haikatazwi kwa mkristo kutumia vifungu vya quran kwenye kujenga hoja fulani. Hali kadhalika haikatazwi kwa muislam kujenga hoja zake kwa kutumia vifungu vya Biblia.