Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

We jamaa sikujua kwamba ni hewa kiasi hiki? Nimekuuliza swali, Muislam halisi ni yupi? Kama huna jibu piga kimya kuliko kuongea mambo ya hovyo? Niwe na kinyongo na wewe kwa kipi? Au hujazoea kuwa criticized? Do you think I give a shit about these religions? Na hata kama leo nikifa, am certain, kama kweli moto upo, basi naenda moja kwa moja motoni cuz' I don't believe in a lot of things na hizi dini! You wanna know what I ever said before about these religions? One of my comments hii hapa:
So, it's shame to you mtu kuku-criticise unamuona eti ana msimamo mkali!! Hujazoea kuwa criticised sio?

Lemme say this: Imani yangu ni haba but that doesn't mean I don't know what Jews, Christians and Muslims believe kwa sababu I usually read anything coming along... I love reading! I know Articles of Faiths for Jews, Christians and Muslims na ndio maana nikashangaa hoja yako... nikahoji ili nifahamu huenda you've different understanding! Kinyume chake; badala ya kujibu, "oh msimamo mkali utakupa vidonda vya tumbo!" Na hapo nime-highlight with RED kuonesha it's all about IMANI whether is TRUE or NOT but that's what's believed!!

Kwahiyo, ukiulizwa swali na hauna jibu kuwa wazi kuliko kuleta hoja zisizo na kichwa wala miguu zinazobebwa na hisia!!!!
Chige leo umeamka vibaya sana. Pole sana mkuu.

Rushdie ni muislam halisi kwa maana ya kuzaliwa kwenye familia ya kiislam na kukuzwa kwenye tamaduni za kiislam. Mzee Makamba ni muislam pia, lakini haikatazwi kwa mkristo kutumia vifungu vya quran kwenye kujenga hoja fulani. Hali kadhalika haikatazwi kwa muislam kujenga hoja zake kwa kutumia vifungu vya Biblia.
 
Sijaamka vibaya lakini madai yako kwamba nina msimamo mkali simply because nimekuhoji hayana maana. But anyway, twende moja kwa moja kwenye hoja ya Uislamu halisi! Kwanza, kukuzwa kwenye Uislam sio hoja hata kwa 1%...!!!

Binafsi nimezisoma dini zote tatu maarufu kama Dini za Kitabu! Dini zote hizi zina misingi yake na kuna kitu kingine kinaitwa Article of Faiths for all religions... Google Muslim Article of Faiths!

Linapokuja suala la misingi, Waislam wanaita NGUZO... nguzo ya kwanza kabisa ni ku-declare hapana Mola apaswae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Kwahiyo mtu yeyote asiye Mwislamu, anapoingia kwenye Uislam, jambo la kwanza kabla ya yote ni kutoa hiyo declaration hadi moyoni. Nguzo 4 zilizobaki ni kufunga (ramadhan), kuswali sala 5, kwenda Hijja, kutoa zaka!

Lakini hata ukifanya yote hayo bado kwa sababu, pamoja na NGUZO kuna IMANI ambazo zinapatikana kwenye article of faith. One of those article of faith ni KUAMINI MITUME YA MWENYEZI MUNGU NA VITABU VYAO! It doesn't matter ikiwa wanachoamini ni sahihi au wrong... that's why inaitwa IMANI! Waislamu wanamchukulia Yesu ni Mtume na ndio maana kwa wanaoifahamu dini, huwezi kuwasikia wakimkashifu Yesu... NEVER! WHY? Itakuwa wanakiuka moja ya imani za Uislamu!

Turudi kwa Salman Rushdie! Yeye anadai Quran ni Aya za Shetani! Waislamu wanaamini kwamba Quran ni neno la Mungu! Sasa ikiwa Rushdie anaamini Quran ni Aya za Shetani, hii maana yake Mungu (Allah) ni shetani! What about Muhammad aliyetangaza hiyo Quran ya "shetani?" Automatically, na yeye ni shetani! Kwahiyo hapa Sulman Rushdie sio tu anaikana IMANI ya kuamni mitume wa mwenyezi mungu na vitabu vyao (according to Islam) lakini pia, Mungu mwenyewe kwake ni shetani na moja kwa moja anauvunja MSINGI MKUU wa Uislamu kwamba Hapana Mola Apaswae Kuabudiwa kwa Haki Ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Ni sawa sawa na leo

REMEMBER. it's not about whether Rushdie is right or wrong but it's all about what Muslims believe bila kujali ni sahihi wanachoamini au hapana!

Chukulia Ukristo kwa mfano, moja ya Imani kubwa kabisa ni Kuamini katika Mungu, Baba wa Milele, na katika Mwanawe, Yesu Kristo, na katika Roho Mtakatifu. Na ipo nyingine inayoaminisha Biblia kuwa ni neno la Mungu.

Sasa haiwezekani aje mwingine aseme Utatu Mtakatifu ni ushetani na Bible nayo ni neno la shetani halafu ukasema huyo nae ni Mkristo Halisi simply because amezaliwa na kukulia kwenye familia ya kikristo!

Hata kama anaweza kuwa sahihi, lakini hawezi kuwa Mkristo halisi kwa sababu anachoamini yeye ni tofauti na Imani ya Ukristo inavyosema!!!!

Huyo moja kwa moja ata-fit kwenye Uislamu au Uyahudi kwa sababu hao ndio hawaamini katika Utatu Mtakatifu!!! Sawa na Rushdie anavyoweza ku-fit kwenye Ukristo au Uyahudi kwavile articles of faith za dini zote hizo zinatafsiri kwamba Quran ni aya za shetani na kwa maana nyingine hata inayeaminika kaitoa (Allah) nae atakuwa shetani!
 
Sijaamka vibaya lakini madai yako kwamba nina msimamo mkali simply because nimekuhoji hayana maana. But anyway, twende moja kwa moja kwenye hoja ya Uislamu halisi! Kwanza, kukuzwa kwenye Uislam sio hoja hata kwa 1%...!!!

Binafsi nimezisoma dini zote tatu maarufu kama Dini za Kitabu! Dini zote hizi zina misingi yake na kuna kitu kingine kinaitwa Article of Faiths for all religions... Google Muslim Article of Faiths!

Linapokuja suala la misingi, Waislam wanaita NGUZO... nguzo ya kwanza kabisa ni ku-declare hapana Mola apaswae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Kwahiyo mtu yeyote asiye Mwislamu, anapoingia kwenye Uislam, jambo la kwanza kabla ya yote ni kutoa hiyo declaration hadi moyoni. Nguzo 4 zilizobaki ni kufunga (ramadhan), kuswali sala 5, kwenda Hijja, kutoa zaka!

Lakini hata ukifanya yote hayo bado kwa sababu, pamoja na NGUZO kuna IMANI ambazo zinapatikana kwenye article of faith. One of those article of faith ni KUAMINI MITUME YA MWENYEZI MUNGU NA VITABU VYAO! It doesn't matter ikiwa wanachoamini ni sahihi au wrong... that's why inaitwa IMANI! Waislamu wanamchukulia Yesu ni Mtume na ndio maana kwa wanaoifahamu dini, huwezi kuwasikia wakimkashifu Yesu... NEVER! WHY? Itakuwa wanakiuka moja ya imani za Uislamu!

Turudi kwa Salman Rushdie! Yeye anadai Quran ni Aya za Shetani! Waislamu wanaamini kwamba Quran ni neno la Mungu! Sasa ikiwa Rushdie anaamini Quran ni Aya za Shetani, hii maana yake Mungu (Allah) ni shetani! What about Muhammad aliyetangaza hiyo Quran ya "shetani?" Automatically, na yeye ni shetani! Kwahiyo hapa Sulman Rushdie sio tu anaikana IMANI ya kuamni mitume wa mwenyezi mungu na vitabu vyao (according to Islam) lakini pia, Mungu mwenyewe kwake ni shetani na moja kwa moja anauvunja MSINGI MKUU wa Uislamu kwamba Hapana Mola Apaswae Kuabudiwa kwa Haki Ila ni Mwenyezi Mungu na Muhammad ni Mjumbe wake! Ni sawa sawa na leo

REMEMBER. it's not about whether Rushdie is right or wrong but it's all about Muslims believe bila kujali ni sahihi wanachoamini au hapana! Chukulia Ukristo kwa mfano, moja ya Imani kubwa kabisa ni Kuamini katika Mungu, Baba wa Milele, na katika Mwanawe, Yesu Kristo, na katika Roho Mtakatifu. Na ipo nyingine inayoaminisha Biblia kuwa ni neno la Mungu.

Sasa haiwezekani aje mwingine aseme Utatu Mtakatifu ni ushetani na Bible nayo ni neno la shetani halafu ukasema huyo nae ni Mkristo Halisi simply because amezaliwa kwenye familia ya kikristo! Hata kama anaweza kuwa sahihi, hawezi kuwa Mkristo halisi kwa sababu anachoamini yeye ni tofauti na Imani ya Ukristo inavyosema!!!! Huyo moja kwa moja ata-fit kwenye Uislamu au Uyahudi kwa sababu hao ndio hawaamini katika Utatu Mtakatifu!!! Sawa na Rushdie anavyoweza ku-fit kwenye Ukristo au Uyahudi kwavile articles of faith za dini zote hizo zinatafsiri kwamba Quran ni aya za shetani na kwa maana nyingine hata inayeaminika kaitoa (Allah) nae atakuwa shetani!
Mkuu Chige nimekusoma kwa kina, Jumapili njema popote ulipo.
 
Kuna dhambi kwake kutumia vifungu vya Biblia au Quran?. Nani mwenye hatimaliki na vitabu vya Mungu?.

Mara ngapi tunawaona watu wakiviongelea vifungu vya vitabu vitakatatifu ingawa hawana uelewa wa kile wanachokiongelea?.

Cha maana ni mantiki ya kile kinachosemwa, wala sio umahiri au elimu kubwa ya msemaji, mbele ya wanaomsikiliza.
Wapi nimesema habari za Quran na Biblia? Wapi nimezungumzia suala la hatimiliki ya vitabu? Umetoka nje ya mada; kama hukuelewa swali ulitakiwa kuuliza manake yote uliyoongea wala hayajibu swali ina maana Muislamu halisi ni ile kukuzwa katika dini ya Uislam? Lakini usijali, nimefuatilia mjadala wako na @ chige hapo na nimepata jibu tosha.
 
Pengo ni Mungu?
Ustaadh Swalehe, Pengo ni mwakilishi wa kundi kubwa sana la wakatoliki hapa nchini. Sio Mungu sio malaika, ni mtu mzima kiumri na mwenye kustahili heshima.

Uhuru wa mtu kuanzisha kanisa sio kigezo cha kutukana watu ambao kimaadili unapaswa kuwaheshimu. Ndio maana laana hutoka kwa mkubwa kwenda kwa mdogo na sio kinyume chake.
 
Gwajima hana heshima

Si kweli, Gwajima heshima anayo kama hajanywa viroba vyake na kubugia unga pamoja na kupuliza maduduwasha yake anayoyauza. Akiwa hajanywa viroba na kubugia unga huwezi juwa kuwa ni Gwajima maana anahamkia kila mtu hata watoto wadogo, kosa tu aonje viroba na kubugia unga wake. Nafikiri laana yake ndiyo hii, yaani haruhusiwi kuonja hivyo vitu.
 
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma.

Lakini naamini lengo la Mzee Makamba kumsema Askofu Gwajima ni kumuongezea uadui miongoni mwa wanajamii kwa kuanzia na watu wanaosali kwake. Lengo jingine ni kumchongea kwa Mwenyekiti Mtarajiwa wa CCM.

Vyovyote iwavyo siuoni mwenendo mzuri katika siku zijazo kwa Askofu huyu. Ni hatari sana pale unapojaribu kujikomba kwa mtu mmoja kwa kumponda mwingine bila ya kuifahamu kwa undani wanapokuwa wamekaa pamoja wawili hao wanaongea vipi na wanaaminiana kwa kiasi gani.

Kiongozi mstaafu siku zote hapungukiwi ushawishi kwa aliyepo pale Magogoni. Askofu alipaswa kupima uzito wa kauli yake ili akwepe kufananishwa na mtu aliyelaaniwa.

Habari ya mujiiiniiii kwa sasa ni Bashite alete vyeti tu
 
Back
Top Bottom