Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Ingawa siungi matendo yanayo fanywa na Gwajima.
Lakini nathubutu kusema.......
Amakweli nyani haoni kundule aiseeee......[emoji15]
Hivi...[emoji47]
Huyu Mzee Makamba, si aliwahi kua mwalimu..!?
Ebu ngoja niishie hapa kwanza, nikatafute makabrasha ya kumbukumbu
 
Ndugu zangu hvi Mzee wetu Makamba ni mfuasi wa dini gani?
 
Sasa makamba na gwajima nani kichaa!!!

Makamba fyatu yule... Arudi lushoto akalime tu
 
Naamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana
 
Naamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana,tumepata story ya wiki
 
"Sumaye anapiga mechi za mchangani huko kibaha/ pwani"

Luteni Yusufu Makamba
 
Makamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
 
Makamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
Katika yote yaliyoongelewa umeliona hilo peke yake!. Ujumbe wake umeuelewa vizuri lakini?.
 
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma.

Lakini naamini lengo la Mzee Makamba kumsema Askofu Gwajima ni kumuongezea uadui miongoni mwa wanajamii kwa kuanzia na watu wanaosali kwake. Lengo jingine ni kumchongea kwa Mwenyekiti Mtarajiwa wa CCM.

Vyovyote iwavyo siuoni mwenendo mzuri katika siku zijazo kwa Askofu huyu. Ni hatari sana pale unapojaribu kujikomba kwa mtu mmoja kwa kumponda mwingine bila ya kuifahamu kwa undani wanapokuwa wamekaa pamoja wawili hao wanaongea vipi na wanaaminiana kwa kiasi gani.

Kiongozi mstaafu siku zote hapungukiwi ushawishi kwa aliyepo pale Magogoni. Askofu alipaswa kupima uzito wa kauli yake ili akwepe kufananishwa na mtu aliyelaaniwa.
 
Mzee makamba anaomba poo kwa lipi?
Usituloweshe udenda wako kwa thread zisizo na mashiko.

Mzee makamba saiv hategemei chochote iwe ktk siasa au serikali,na hata ktk system hayumo,kwa umri huo kabaki mshauri tu.

Ata akamshambulia,hawezmtia madhara yyt.Na kama anayo hekima,Gwajima hatapaswa kurevange chochote maana hata kimaadili mzee ana nafasi ya kukemea.
 
Naamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana,tumepata story ya wiki

KwaninGwajima alumjibu Pengo swali gani mkuu? Mbona hakuna ambacho gwajima alimjibu Pengo?
 
Back
Top Bottom