Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha Magufuli akimpiga chini mwanae January sijui Makamba ataibuka na hoja ganiMakamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
we unamuona gwajima ana busara,busara hana kabisa ila makamba kayataka mwenyewe gwajima hawezi kumkalia kimya na makamba atachemsha kwa sababu hana pa kujibia kama akitukanwa angekaa kimya tuMzee makamba anaomba poo kwa lipi?
Usituloweshe udenda wako kwa thread zisizo na mashiko.
Mzee makamba saiv hategemei chochote iwe ktk siasa au serikali,na hata ktk system hayumo,kwa umri huo kabaki mshauri tu.
Ata akamshambulia,hawezmtia madhara yyt.Na kama anayo hekima,Gwajima hatapaswa kurevange chochote maana hata kimaadili mzee ana nafasi ya kukemea.
"Sumaye anapiga mechi za mchangani huko kibaha/ pwani"
Luteni Yusufu Makamba
Ujumbe wake umeeleweka kwamba Magufuli hataki mazoea ya vimemo,anateua mtu kwa sifa na si kujuana!Hoja yangu hapa ni kuwa mzee kama huyo anakuwaje hazina ya chama huku akipenyeza vimemo?Katika yote yaliyoongelewa umeliona hilo peke yake!. Ujumbe wake umeuelewa vizuri lakini?.
Dada yake....Makamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
Atawapa vilivyoAsubiri majibu yake kesho jumapili Gwajima hanaga muda wa kupoteza
Sio vyema kuchanganya dini na siasa hasa kwa viongozi wetu wa kiroho.sidhani kama ngwajima atarudia asee kurumbana na wanasiasa
Hovyo kabisa,Gwajima ni mungu hadi aogopewe? Kulikua na mtu anatisha kama Lowassa na watu walimkataNaamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana
Kumbe alikuwa anawatisha jamaa?Hovyo kabisa,Gwajima ni mungu hadi aogopewe? Kulikua na mtu anatisha kama Lowassa na watu walimkata
Kwa kinywa chake amesema Dada yakeDada yake....
Au binti yake[emoji47]
Pengine kumbukumbu zimeanza kunitoka eehhh.....[emoji20]
Ha ha ha mwl wa mkoani Kigoma[emoji12]Ninavyomjua Gwajima atalinganisha dhambi ya kumtukana Cardinal Na dhambi ya Mwl.Mkuu ya Kubaka Mwanafunzi Na kumpa mimba, sijui atatumia msitari gani kwenye Holly bible!!??
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma.
Lakini naamini lengo la Mzee Makamba kumsema Askofu Gwajima ni kumuongezea uadui miongoni mwa wanajamii kwa kuanzia na watu wanaosali kwake. Lengo jingine ni kumchongea kwa Mwenyekiti Mtarajiwa wa CCM.
Vyovyote iwavyo siuoni mwenendo mzuri katika siku zijazo kwa Askofu huyu. Ni hatari sana pale unapojaribu kujikomba kwa mtu mmoja kwa kumponda mwingine bila ya kuifahamu kwa undani wanapokuwa wamekaa pamoja wawili hao wanaongea vipi na wanaaminiana kwa kiasi gani.
Kiongozi mstaafu siku zote hapungukiwi ushawishi kwa aliyepo pale Magogoni. Askofu alipaswa kupima uzito wa kauli yake ili akwepe kufananishwa na mtu aliyelaaniwa.