Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Lakini Mimi binafsi sijaona kosa la gwajima maana aliongea ukweli, watu walikuwa wanafanya kampeni maghu asiwe mwenyekiti bulembo akaja kuthibitisha hata lizaboni humu ndani kathibitisha sasa kosa lake nini?
Ila laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna huyu Gwajima..
 
Wataalam wa sheria naomba ufafanuzi, kama mtu alishawahi kumpa mimba mwanafunzi kesi yake inaweza kufufuliwa? Sababu nadhani hili ni jipu la usoni na linaonekana kabisaaaa..........
 
Na yeye anayo ya kummimba mwanafunz wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sioni sababu ya askofu Gwajima kushambuliwa hadharani na mzee Makamba wakati alichokisema ndiyo uliokuwa ukweli wenyewe.
Sasa asubiri mrejesho wa askofu.
 
Polisi wamhoji makamba kwa lugha inayoashiria uchochezi
 
Sioni sababu ya askofu Gwajima kushambuliwa hadharani na mzee Makamba wakati alichokisema ndiyo uliokuwa ukweli wenyewe.
Sasa asubiri mrejesho wa askofu.
Nadhani mngemshauri huyo Askofu wenu uchwara Gwajima akae kimya maana akimshambulima Mzee Makamba ni kazi bure..Makamba hana ushawishi wowote kwenye siasa wa serikalini..hivyo hata athirika..mno mno huyo mropokaji Gwajima azidi kuabika
 
Laana haifiki kwa namna hiyo. Huyo hajui anachoongea
 
Wenyewe uelewa mdogo kama wewe huwezi kuelewa alichoongea Gwajima
Huyo mropokaji anayeangalia upepo upo wapi ili apate kuongeza waumini na umaarafu hata kichaa anamdharau...

Makamba yupo sawa kabisa " laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna mpaka atakapoingia kaburini"
 
Wewe nimeshakuambia uwezo mdogo huwezi kuelewa
Huyo mropokaji anayeangalia upepo upo wapi ili apate kuongeza waumini na umaarafu hata kichaa anamdharau...

Makamba yupo sawa kabisa " laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna mpaka atakapoingia kaburini"
 
Nadhani mngemshauri huyo Askofu wenu uchwara Gwajima akae kimya maana akimshambulima Mzee Makamba ni kazi bure..Makamba hana ushawishi wowote kwenye siasa wa serikalini..hivyo hata athirika..mno mno huyo mropokaji Gwajima azidi kuabika
Haha uchwara my foots angekuwa behind Bars [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji37] [emoji37]
 
Baada ya siku ya leo Jumamosiya sabato kumalizika na mkutano mkuu kumpitisha kikwete,kesho ni siku maalum ya Gwajima kumjibu Makamba,naamini Makamba ameingia choo cha kike na ataomba poo japo kimya kimya na waandishi wa habari msikose Kanisa la UFUFUO na Gwajima kesho,hii ni komedy mpya inayokuja

Halafu nyie BAVICHA si mlisema hamtafuatilia mkutano huu?
 
Amakweli nyani haoni kundule...hivi wao CCM mbona wanalaana nyingi tu moja ya Abdu Jumbe..suala la kumuwekea binaadamu mwenzio kizuizi na kumnyima uhuru wa kufanya mambo yake ni laana..maana atakua ananung'unika kila siku kwa ajiili yako..La makonda na Warioba hajaliona.
 
Hii ni ligi mpya akiwajibu msianza kumpelekea policcm ninavomjua gwaji kwa kuchamba tu ana PHD muulizeni Dr Slaa kahama nchi saivi
 
Gwajima akiwajibu mnasema mchochezi akamatwe lakini nyie mnamrushia madongo. Wewe uliyemsema na yeye ni walewale busaraless.
 
Lakini Mimi binafsi sijaona kosa la gwajima maana aliongea ukweli, watu walikuwa wanafanya kampeni maghu asiwe mwenyekiti bulembo akaja kuthibitisha hata lizaboni humu ndani kathibitisha sasa kosa lake nini?
Hakuna slides ni kikwete
 
Back
Top Bottom