Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Huyo mropokaji anayeangalia upepo upo wapi ili apate kuongeza waumini na umaarafu hata kichaa anamdharau...

Makamba yupo sawa kabisa " laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna mpaka atakapoingia kaburini"
Pengine ni laana ya kumpa mimba mwanafunzi na kutofungwa
 
Eeehhh BABA yangu nakuomba uwape adhabu wote wanaomkashifu mtumishi wako Gwajima, laana wanayotoa na iwe juu yao. Kwa jina la YESU ninaomba Amen
 
JK na JPM sivyo kama tunavyowazungumzia mitandaoni. JPM anaweza kuikosoa atakavyo serikali ya awamu ya nne na zile zilizopita lakini mmoja wa washauri wake wa karibu ni JK. Hivyo wanavyokaa pamoja atakayeumia anaweza kuwa ni askofu.
Kwa hiyo unataka kusema tusitegemee mambo tofauti saaana na awamu ya JK?
 
Ombi langu polisi wasimsumbue ngwajima akijibu mzee hapo kesho
Kwa ninavyowajua polisi wa siku hizi na Gwajima mwenyewe anavyojibu straight, yawezekana ibada ya kesho ikafanyika huku polisi wamezingira nyumba ya ibada ya Gwajima.
 
Tukumbushe na yule mwenye laana ya kumpiga jaji mstaafu J.Warioba.
 
Kwa ninavyowajua polisi wa siku hizi na Gwajima mwenyewe anavyojibu straight, yawezekana ibada ya kesho ikafanyika huku polisi wamezingira nyumba ya ibada ya Gwajima.
Wala asiogope kumjibu hata kama polisi wakimzingira makamba anajifanya malaika akamsahau yule kijana aliyekuwa akimtuma sigara kubwa pale boma na kupeleka ..... kule mabibo kwa ....
 
Unataka kutukumbusha yale ya Kigoma kumpa mimba mwanafunzi na kukimbia? Acha bwana, nayo ya zamani watu wamesahau
Basi sawa mkuu.
Ebu ngoja tumalize kama watu wazima aiseeee.....
Tusije sababisha vijana wa kizazi cha vidonge na sindano wakamkosea adabu mzee mstaafu
 
Basi sawa mkuu.
Ebu ngoja tumalize kama watu wazima aiseeee.....
Tusije sababisha vijana wa kizazi cha vidonge na sindano wakamkosea adabu mzee mstaafu
Tatizo lake kajisahau amefanya nini ngoja tumkumbushe kwanza ili aache unafiki na kujikomba
 
Walemavu wa akili ni wengi sana Tz. na hii itachukua zaidi ya karne na karne kuondokana na ujinga,umasikini,maradhi,ufisadi,unafiki,uzambiki n.k.
Ukisikiliza Wengi wa viongozi wa swisswism na wapinzani hewa waliohudhuria mkutano wao wa familia yao wenye dhambi utagundua karibu wote ni walemavu wa akili kwani wanamjadili mtu na kusahau agenda zao.
Inanisikitisha nchi yangu ya kusadikika....
Unaweza kuthibitisha kwamba na wewe sio mlemavu wa akili?. Inawezekana vipi ukazaliwa na kukua katika nchi ya walemavu wa akili na wewe usiwe mmojawapo?. Ndivyo shuleni mnavyofundishwa kuishi kwa kumdharau hata yule msiye mfahamu?. Aibu kwa walimu na walezi, tena ni watu ambao wanatumia nguvu kubwa katika kuibadilisha jamii.
 
Tatizo lake kajisahau amefanya nini ngoja tumkumbushe kwanza ili aache unafiki na kujikomba
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Naona umeamua kumvua nguo mzee mwenzetu kwenye hadahara
 
Huyu naye kwishneri ni kama Mrema tu nadhani ni mapacha wengi sana wapo swisswism.
 
Baada ya siku ya leo Jumamosiya sabato kumalizika na mkutano mkuu kumpitisha kikwete,kesho ni siku maalum ya Gwajima kumjibu Makamba,naamini Makamba ameingia choo cha kike na ataomba poo japo kimya kimya na waandishi wa habari msikose Kanisa la UFUFUO na Gwajima kesho,hii ni komedy mpya inayokuja
Ataomba poo ya nini?kwa ajili gani ?Gwajima ni nani?
 
Back
Top Bottom