Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Salman Rushdie na Gwajima Mwenye laana ni yupi? Babu makamba kalee wajukuu!
 
Kwani Makamba siyi msataafu anayejikomba kwa Magufuli? Tena amesikika akisema Kikwete alibatiza watu kwa maji lakini Magufuli atabatiza kwa moto? Kwa nini anatumia neno kubatiza na siyo kusilimisha? Aache kabisa kujifanya anajua imani za watu wengine.
 
Salman Rushdie na Gwajima Mwenye laana ni yupi? Babu makamba kalee wajukuu!
Swali lako limejumuisha watu wawili tofauti kabisa, wenye historia zisizofanana, na ambao vyanzo vya kuchukiwa kwao ni tofauti pia.
 
Dini mara nyingi hazina mwenyewe. Ndio maana wapo mapadre ambao wamesomea maandiko ya kiislam pia wapo mashekhe wenye kuijua vizuri Biblia. Unataka kuniambia kuwa wewe unaijua dini sana kiasi cha kukosoa tabia ya mzee Makamba ya kutumia maandiko katika kujenga hoja?.
 
Hoja gani? Niambie hao waliobatizwa kwa maji ni akina nani? Anajua maana ya kubatiza kwa moto au anaropoka? Bado sijaelewa mantiki ya swali wala hoja yako. What is that you want to ask or tell me? Sijakuelewa? Hao mashehe wenye kujua Biblia sijawasikia wakitamka uongo kama wa Makamba hadharani.
 
Ujumbe wake umeeleweka kwamba Magufuli hataki mazoea ya vimemo,anateua mtu kwa sifa na si kujuana!Hoja yangu hapa ni kuwa mzee kama huyo anakuwaje hazina ya chama huku akipenyeza vimemo?
Siasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.
 
Makamba kwa miaka mingi sana amekuwa akikejeli ukristo huku Wana CCM wakicheka. Kuna wakati alimuita YESU kuwa ni Nabii Issa kitu ambacho ni kejeli, dhihaka na matusi kwa ukristo
 
Mtumishi wa Mungu hahitaji kujikomba kwa watawala. Gwajima ana pesa zaidi hata ya Magu
Pesa na busara ya kujua ni wapi niseme kitu gani, ni vitu viwili tofauti sana. Alizivamia kwa pupa siasa, kuropoka kwake hovyo pia kulichangia katika kumuongezea maadui.
 
Makamba kwa miaka mingi sana amekuwa akikejeli ukristo huku Wana CCM wakicheka. Kuna wakati alimuita YESU kuwa ni Nabii Issa kitu ambacho ni kejeli, dhihaka na matusi kwa ukristo
Ndivyo alivyo. Siyo mara moja siyo mara mbili. Mifano yake ya kijinga huwa anatumia Ukristo. Kwani hana dini yeye? Mzee mzima OVYO!
 
Pesa na busara ya kujua ni wapi niseme kitu gani, ni vitu viwili tofauti sana. Alizivamia kwa pupa siasa, kuropoka kwake hovyo pia kulichangia katika kumuongezea maadui.
Nadhani Kuna viongozi wengi sana wa siasa wanaropoka tena saaana (sitaki kutaja jina, wenye akili wanajua). Gwajima yuko sahihi sana kwa matamshi yake. Namuombea kwa YESU amlinde mtumishi wake
 
Ndivyo alivyo. Siyo mara moja siyo mara mbili. Mifano yake ya kijinga huwa anatumia Ukristo. Kwani hana dini yeye? Mzee mzima OVYO!
Anajifanya bingwa wa kuchambua dini ila kosa kubwa anafanya ukristo na uislam kuwa sawa wakati ni tofauti sana. Eti ubatizo wa moto, hapo ni kutukana nguvu ya roho mtakatifu.
 
JK na JPM sivyo kama tunavyowazungumzia mitandaoni. JPM anaweza kuikosoa atakavyo serikali ya awamu ya nne na zile zilizopita lakini mmoja wa washauri wake wa karibu ni JK. Hivyo wanavyokaa pamoja atakayeumia anaweza kuwa ni askofu.
Every person feels important! Labda wanyama wa mwituni inawezekana. Hakuna binadamu anayependa kunangwa mbele za watu! Kucheka au kutabasama hakumaanishi kuwa moyoni unafuraha au unapenda. Katika mazingira fulani binadamu anaweza akacheka hata anapotukanwa ikawa busara zaidi kuliko kukasirika. Mioyo inasiri nzito!
 
Naomba Lowassa aende mahakamani kwa kuitwa fisadi a,siasa za blah blah hatutaki Tena! Akikaa kimya basi amehalalisha jina hilo.
. Gwajima na makamba naona akilizao hazipishani sana...waendelee kupeana maneno
 
kama ni mipasho na matusi Gwajima hamuwezi Makamba. Kwanza Gwajima hata kiswahili hakijui sijui ni mtu wa nchi jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…