Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Eti kama kawaida yangu, kwanza mimi ndiyo nakuona leo kwenye Jamiiforums sasa sijui una kawaida ipi. Angekuwa Malaria Sugu au Mwita25 hapo sawa.

Ngoja nikuulize swali kwanza, do you think Pengo was right to nullify what was decided by a team of learned right bishops, both on duty and retired?
Mbona nimekujibu hili swali ktk comment zilizopita ? Tena nikakazia ktk maneno bold. Kifupi ndio he was right. Ukumbuke pia wakati fulani mtu mmoja anaweza kuwa sahihi na wengine wengi wanaweza kuwa sio sahihi.
 
So you mean philosophically Pengo was right and all the right bishops were wrong?
 
Uzi upo tayari jukwaa la dini hapa hapa Jamiiforums. Hilo nalo linaonesha ulivyo mgeni hapa na unahororoja tu (msemo wa FaizaFoxy)
Fungua Uzi mwingine wa kwako tena ukazie hoja kuhusu mafundisho ya kanisa lako wewe. Siwezi kusoma uzi zote huo muda nitatoa wapi mkuu. As you can see on my profile nipo since 2012 lakini comment zangu chache sana huwa nachangia hoja muhimu nipatapo muda due to the nature of my job/occupation.
 
Tena nilikuwa member since 2010 kama sikosei ila Account hiyo nilisahau password na email niliyotumia niliachana nayo nikaamua kufungua hii ya sasa mwaka 2012.
 
Tena nilikuwa member since 2010 kama sikosei ila Account hiyo nilisahau password na email niliyotumia niliachana nayo nikaamua kufungua hii ya sasa mwaka 2012.
Ndiyo ina posts 50 halafu unajionesha mzoefu? Kama unasahau password ambayo unaweza ku recover utakumbuka matamko ya Pengo ya kupingana na TEC?
 
Don't grant trust to these men the own names is only reality that they can postulate hardly hard they are your father!!!
 
Ndiyo ina posts 50 halafu unajionesha mzoefu? Kama unasahau password ambayo unaweza ku recover utakumbuka matamko ya Pengo ya kupingana na TEC?
Uzoefu nimezungumzia wapi? Mimi naingia huku mara kadhaa kwa mwezi au miezi kwa sababu maalum. Mimi sio mpenzi wa siasa, sio blogger, sio mwandishi wa habari, sio mdau wa BAVICHA au UVCCM. Kazi yangu hainiruhusu kushinda humu muda mwingi, just trolling about making pointless comments e.t.c. I'm not making my living by just talking garbage on this social forum. But, not spending much of my time on these social networks doesn't mean I will entertain or let go your pointless comments. And one more thing kati yangu na wewe nani alie sahau matamko ya Kadinali Pengo au tuseme anayakumbuka lakini hajaelewa hoja ya Kadinali Pengo ni nini? Sijui una umri gani!!!!! Una argue kama mtoto au mtu asie bahatika kuiona elimu ya sekondari. Nina mashaka na uwezo wako wa kuelewa na reasoning capacity yako. Kwani nilivyokusoma unaendeshwa na siasa za upepo/unyumbu na udini. Una chuki sana na uislam na Ukatoliki. NB: mimi mkristo lakini siasa za chuki na udini sio aina yangu ya maisha. Unalilia haki ya kuchinja wakati mkristo anaweza kula kibudu mradi asiwe hatari kwa afya. kwani kuna hasara gani akichinja muislam au myahudi amabae dini/imani yake inalazimisha mambo ya halal au kosher? Wewe utadhurika nini?
 
Ndiyo ina posts 50 halafu unajionesha mzoefu? Kama unasahau password ambayo unaweza ku recover utakumbuka matamko ya Pengo ya kupingana na TEC?
Nikikuambia una tatizo la kusoma na kushindwa kuelewa au ufahamu/comprehension hauelewi. Sasa naona haujasoma vizuri comment yangu kwanini siku recover password yangu. Nimekwambia email niliyotumia ku-register account yangu JF niliachana nayo usiniulize why. Sasa ningewezaje kurecover passwd kama email ya kurecover was not active? Kujua kwanini nilichana nayo nalo somo kubwa sana? Kwanini niliisahu nimekwambia mimi naingia humu nikiwa nime login ni mara chache kwa mwaka, na kichwani nimeshika passwd za account zaidi ya 50 kutokana na kazi yangu. Na manage account za wafanyakazi wa kampuni kadhaa na services zao nyingi sana. Kama umefika university sijui ulimalizaje kwa tatizo lako la uelewa kubwa namana hii!!!
 
Ndiyo ina posts 50 halafu unajionesha mzoefu? Kama unasahau password ambayo unaweza ku recover utakumbuka matamko ya Pengo ya kupingana na TEC?
Mtu ana comment zaidi ya 100K lakini nyingi pumba tupu na mwingine ana 50 lakini hoja zenye mashiko bora yupi?
 
Mzee Makamba inaoenakana hakuwa na kazi kuanza kujibizana na Gwajima
 
Usipotoshe umma, Salman Rushdie ni muislam halisi, Rushdie ni utamkaji wa kizungu, jina lake ni Salman Rashidi.
Kabla hujaandika kitu jaribu kufanya japo kautafiti kadogo. Rushdie alipoamua kuukosoa uislam alikuwa akiandika mambo anayoyafahamu kwani amekuzwa katika dini hiyo.
Yusuf Makamba sio mtoto mdogo, mtoto wake January amezaliwa mwaka 1974. Anayo haki ya kutolea mifano vitabu vyote vya dini kama anao uelewa wa kile kinachoandikwa. Mbona waislam wengi tu wanaanzisha mihadhara maalum ya kuichambua Biblia?. Mbona wakristo wengi wanaisoma Quran tena wakiwa seminary wakati wakiwa kwenye harakati ya kuwa mapadre?. Huna sababu ya kuchukizwa na tabia ya Mzee Makamba kuchambua vitabu vyote vya dini, hakuna binadamu mwenye haki maliki ya vitabu hivi vitakatifu.
Kwahiyo ni Muislamu halisi kwa kuwa amekuzwa katika dini ya Uislam sio?
 
Who's Muislamu halisi au Mkristo Halisi?
 
Kwahiyo ni Muislamu halisi kwa kuwa amekuzwa katika dini ya Uislam sio?
Kuna dhambi kwake kutumia vifungu vya Biblia au Quran?. Nani mwenye hatimaliki na vitabu vya Mungu?.

Mara ngapi tunawaona watu wakiviongelea vifungu vya vitabu vitakatatifu ingawa hawana uelewa wa kile wanachokiongelea?.

Cha maana ni mantiki ya kile kinachosemwa, wala sio umahiri au elimu kubwa ya msemaji, mbele ya wanaomsikiliza.
 
Mkuu Chige unapenda sana ligi zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Aisee! Yaani aliyeuliza who's Muislam halisi au Mkristo halisi anapenda ligi isiyo na kichwa wala miguu!! Lakini kinyume chake, aliehoji the same thing:
Kwahiyo ni Muislamu halisi kwa kuwa amekuzwa katika dini ya Uislam sio?
Huyo hapendi ligi zisizo na kichwa wala miguu! Au ndio maana yeye kauliza kitu kingine na wewe umejibu kitu kingine!!!! Kwani hilo la Mwislamu halisi si umeliweka wewe; sasa kwanini unapata taabu kujibu? Don't take it personal.... swali lilikuwa simple and clear; nani Mwislamu halisi au nani Mkristo halisi! Okay, I will assume hauna jibu hata kama ni mwenyewe umesema hilo suala!
 
Aisee! Yaani aliyeuliza who's Muislam halisi au Mkristo halisi anapenda ligi isiyo na kichwa wala miguu!! Lakini kinyume chake, aliehoji the same thing:
Huyo hapendi ligi zisizo na kichwa wala miguu! Au ndio maana yeye kauliza kitu kingine na wewe umejibu kitu kingine!!!! Kwani hilo la Mwislamu halisi si umeliweka wewe; sasa kwanini unapata taabu kujibu?
Tatizo lako wewe ni mtu mwenye kinyongo sana. Hizi dini za kikristo na kiislam zimekuja na majahazi.

Sio za asili yetu, sasa wewe unataka kujifanya kana kwamba unazijua kuliko wayahudi na waarabu ambao ndio chimbuko la dini zenyewe.

Msimamo mkali utakupatia vidonda vya tumbo na sio kitu kingine chochote.
 
We jamaa sikujua kwamba ni hewa kiasi hiki? Nimekuuliza swali, Muislam halisi ni yupi? Kama huna jibu piga kimya kuliko kuongea mambo ya hovyo? Niwe na kinyongo na wewe kwa kipi? Au hujazoea kuwa criticized? Do you think I give a shit about these religions? Na hata kama leo nikifa, am certain, kama kweli moto upo, basi naenda moja kwa moja motoni cuz' I don't believe in a lot of things na hizi dini! You wanna know what I ever said before about these religions? One of my comments hii hapa:
Unavyomwaga mapovu kwa hizi dini za kuja... utaumia bure tu ndugu; dini zenyewe watu washazibinafsisha hizi huku wewe ukikazana kuita watu wapumbavu... That's why I keep believing Christians and Muslims are the most idiot communities ever existed in the world history!!
So, it's shame to you mtu kuku-criticise unamuona eti ana msimamo mkali!! Hujazoea kuwa criticised sio?

Lemme say this: Imani yangu ni haba but that doesn't mean I don't know what Jews, Christians and Muslims believe kwa sababu I usually read anything coming along... I love reading! I know Articles of Faiths for Jews, Christians and Muslims na ndio maana nikashangaa hoja yako... nikahoji ili nifahamu huenda you've different understanding! Kinyume chake; badala ya kujibu, "oh msimamo mkali utakupa vidonda vya tumbo!" Na hapo nime-highlight with RED kuonesha it's all about IMANI whether is TRUE or NOT but that's what's believed!!

Kwahiyo, ukiulizwa swali na hauna jibu kuwa wazi kuliko kuleta hoja zisizo na kichwa wala miguu zinazobebwa na hisia!!!!
 
Back
Top Bottom