Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Ukizeeka akiri zinarudi utotoni soon tu atafirisika uyo mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwaendekeza wakina Bashite anafilisika kweli, Mbona hawamfati Bakhresa kuomba omba michango ya kipuuzi kila siku kwa sababu bakhresa hataki Kiki za kijinga, amejitengenezea mazingira ya kutoingilika kizembe

Kama ni kufilisika, Mengi angeshafilisika siku nyingi..nahis mengi anatoa pesa kwa mahesabu, sio kizembe zembe Mimi.
 
Amemteka kiuchawi mkuu akisaidiwa na ndugu zake ( Kylin) Ni dawa tu hizo , uchawi wa kigoma nawajua waganga wake wanaowapumbaza Mzee na familia yake yote wasiseme chochote
Yana mwisho
 
Brightest comment ever. Hiyo ndiyo move. Na akina Regina na Abd wakizubaa basi watakapoamka watakuwa hawana la kufanya zaidi ta kufuta tongotongo la usingizi mzito. Damu ya Kitusi si ya kuchezea. Ni ya kuogopa kama ukoma.
 
Amewaruhusu musambaze picha zake hizi, ambazo zinaonekana kuwa ni private, kwenye mitandao ya jamii? Halafu akiamua kuwachukulia hatua mtamlaumu, si ndiyo?
 
Mercy (RIP) Mzee alimuacha kwa sababu alimfumania na family Dr.more than once,mzee ndo akanawa mikono
Kama ni kweli itakuwa alichepuka kwa sababu ya stress tu. Mzee alipopata pesa alianza kuchepuka na vitoto vidogo mjini. Mama akawa anafuatilia na fujo kibao mpaka akachoka. MARA ya mwisho kumfumania Mzee Mengi ilikuwa ni Kinondoni akiwa na Madam Rita ikabidi Mzee aruke ukuta na alitumia kama si kutenguka. Mama aliteseka sana. Rest in Peace fighter mama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namvutia picha vile alivyo kwamba aliruka ukuta,hi story ya kuruka ukuta ni kweli au changamsha jf.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namvutia picha vile alivyo kwamba aliruka ukuta,hi story ya kuruka ukuta ni kweli au changamsha jf.
Kweli aliruka ukita Mkuu. Ni miaka kadhaa wakati wanaanza na na Madam Rita baada ya kumuacha Lilian Kimaro aliyrkuwa mwanasheria BRELA. Na. Lilian walifumu muda mfupi baada ya bibi kuwa na side dishes hasa la Mwanasheria fulani wa kampuni iliyosaini sana mikataba ya EPA na baadaye kuwa mwanasiasa ambaye waliendeshana sana na Mzee machache. Dunia hii siri ni mdogo sana. Ukiona Moshi unafuka mahali jua una chanzo chake. Ukishikiwa mwenge na Mzee machache jua kuna anga zake umegusa kibiashara au kidemu.
 
[emoji106]
 
Akiwaendekeza wakina Bashite anafilisika kweli, Mbona hawamfati Bakhresa kuomba omba michango ya kipuuzi kila siku kwa sababu bakhresa hataki Kiki za kijinga, amejitengenezea mazingira ya kutoingilika kizembe
Mzee mengi aliingia chumbani Kwa RC kabla RC hajawa DC cjui alienda kufanya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brightest comment ever. Hiyo ndiyo move. Na akina Regina na Abd wakizubaa basi watakapoamka watakuwa hawana la kufanya zaidi ta kufuta tongotongo la usingizi mzito. Damu ya Kitusi si ya kuchezea. Ni ya kuogopa kama ukoma.

Una support ujinga....
Pesa ya mchagga haichukuliwi kizembe hvyo...mali ya mzee mengi inasimamiwa na system imara sanaa....na yeye sio mmiliki ila ni mwenyekiti wa ipp...
 
Amewaruhusu musambaze picha zake hizi, ambazo zinaonekana kuwa ni private, kwenye mitandao ya jamii? Halafu akiamua kuwachukulia hatua mtamlaumu, si ndiyo?

Eeh weee uko wapi !? Wanasambaza Mzee na mke wake wenyewe, Kwenye mitandao ,it looks like bi mdogo anataka atambulike rasmi na jamii kama yeye ndio mke halali
 
Eeh weee uko wapi !? Wanasambaza Mzee na mke wake wenyewe, Kwenye mitandao ,it looks like bi mdogo anataka atambulike rasmi na jamii kama yeye ndio mke halali
Let them enjoy their happy marriage; all I know ni kwamba Mungu anawapenda sana kwa sababu ni watu wanaowapenda watu wake Mungu!
 
R.I.P Mzee mengi.

Its official now K lyyn ni Mjane.
 
Haya vijana kuona Wivu kwa mzee kumbe alikuwa anaspend well his last days...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Apumzike kwa Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…