King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bashite anajua kuwakamua MATAJIRI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite anajua kuwakamua MATAJIRI.
Ukizeeka akiri zinarudi utotoni soon tu atafirisika uyo mzeeHuyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.
Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.
View attachment 1060633
Akiwaendekeza wakina Bashite anafilisika kweli, Mbona hawamfati Bakhresa kuomba omba michango ya kipuuzi kila siku kwa sababu bakhresa hataki Kiki za kijinga, amejitengenezea mazingira ya kutoingilika kizembe
Yana mwishoAmemteka kiuchawi mkuu akisaidiwa na ndugu zake ( Kylin) Ni dawa tu hizo , uchawi wa kigoma nawajua waganga wake wanaowapumbaza Mzee na familia yake yote wasiseme chochote
Brightest comment ever. Hiyo ndiyo move. Na akina Regina na Abd wakizubaa basi watakapoamka watakuwa hawana la kufanya zaidi ta kufuta tongotongo la usingizi mzito. Damu ya Kitusi si ya kuchezea. Ni ya kuogopa kama ukoma.Too late...ana ndoa ya kiserikali...mke mkubwa ni marehemu...ashamfanya Jack sehemu ya biashara ( Amorete ipo ndani ya IPP na sijui share zake kama zinauzika).
Hapo hapo kuna mfuko wa Dr. Ntuyabaliwe wa kutoa vitabu mashuleni unadhaminiwa na IPP....unajua kinachofuata? Jack ataingiza ndugu IPP atatafuta influence ndani ya kampuni...ataingia chama tawala....huku akifight haki za umiliki ndani ya IPP hahaaa amnit prophet of doom lakini that's what my intelligence tells me...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Amewaruhusu musambaze picha zake hizi, ambazo zinaonekana kuwa ni private, kwenye mitandao ya jamii? Halafu akiamua kuwachukulia hatua mtamlaumu, si ndiyo?Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.
Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.
View attachment 1060633
Kama ni kweli itakuwa alichepuka kwa sababu ya stress tu. Mzee alipopata pesa alianza kuchepuka na vitoto vidogo mjini. Mama akawa anafuatilia na fujo kibao mpaka akachoka. MARA ya mwisho kumfumania Mzee Mengi ilikuwa ni Kinondoni akiwa na Madam Rita ikabidi Mzee aruke ukuta na alitumia kama si kutenguka. Mama aliteseka sana. Rest in Peace fighter mama.Mercy (RIP) Mzee alimuacha kwa sababu alimfumania na family Dr.more than once,mzee ndo akanawa mikono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namvutia picha vile alivyo kwamba aliruka ukuta,hi story ya kuruka ukuta ni kweli au changamsha jf.Kama ni kweli itakuwa alichepuka kwa sababu ya stress tu. Mzee alipopata pesa alianza kuchepuka na vitoto vidogo mjini. Mama akawa anafuatilia na fujo kibao mpaka akachoka. MARA ya mwisho kumfumania Mzee Mengi ilikuwa ni Kinondoni akiwa na Madam Rita ikabidi Mzee aruke ukuta na alitumia kama si kutenguka. Mama aliteseka sana. Rest in Peace fighter mama.
Kweli aliruka ukita Mkuu. Ni miaka kadhaa wakati wanaanza na na Madam Rita baada ya kumuacha Lilian Kimaro aliyrkuwa mwanasheria BRELA. Na. Lilian walifumu muda mfupi baada ya bibi kuwa na side dishes hasa la Mwanasheria fulani wa kampuni iliyosaini sana mikataba ya EPA na baadaye kuwa mwanasiasa ambaye waliendeshana sana na Mzee machache. Dunia hii siri ni mdogo sana. Ukiona Moshi unafuka mahali jua una chanzo chake. Ukishikiwa mwenge na Mzee machache jua kuna anga zake umegusa kibiashara au kidemu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namvutia picha vile alivyo kwamba aliruka ukuta,hi story ya kuruka ukuta ni kweli au changamsha jf.
[emoji106]Kweli aliruka ukita Mkuu. Ni miaka kadhaa wakati wanaanza na na Madam Rita baada ya kumuacha Lilian Kimaro aliyrkuwa mwanasheria BRELA. Na. Lilian walifumu muda mfupi baada ya bibi kuwa na side dishes hasa la Mwanasheria fulani wa kampuni iliyosaini sana mikataba ya EPA na baadaye kuwa mwanasiasa ambaye waliendeshana sana na Mzee machache. Dunia hii siri ni mdogo sana. Ukiona Moshi unafuka mahali jua una chanzo chake. Ukishikiwa mwenge na Mzee machache jua kuna anga zake umegusa kibiashara au kidemu.
Mzee mengi aliingia chumbani Kwa RC kabla RC hajawa DC cjui alienda kufanya nnAkiwaendekeza wakina Bashite anafilisika kweli, Mbona hawamfati Bakhresa kuomba omba michango ya kipuuzi kila siku kwa sababu bakhresa hataki Kiki za kijinga, amejitengenezea mazingira ya kutoingilika kizembe
Yes! mama ALASKA TANZANIA
Brightest comment ever. Hiyo ndiyo move. Na akina Regina na Abd wakizubaa basi watakapoamka watakuwa hawana la kufanya zaidi ta kufuta tongotongo la usingizi mzito. Damu ya Kitusi si ya kuchezea. Ni ya kuogopa kama ukoma.
Amewaruhusu musambaze picha zake hizi, ambazo zinaonekana kuwa ni private, kwenye mitandao ya jamii? Halafu akiamua kuwachukulia hatua mtamlaumu, si ndiyo?
Let them enjoy their happy marriage; all I know ni kwamba Mungu anawapenda sana kwa sababu ni watu wanaowapenda watu wake Mungu!Eeh weee uko wapi !? Wanasambaza Mzee na mke wake wenyewe, Kwenye mitandao ,it looks like bi mdogo anataka atambulike rasmi na jamii kama yeye ndio mke halali
Kweli zinahesabika, ni siku 30 tangu uandike hivi na leo hatunae tena
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24]Aisee hatari hiiKweli zinahesabika, ni siku 30 tangu uandike hivi na leo hatunae tena