Huyu jamaa anatuzingua, kama tajiri anataka kuwa masikini mbona simple tu. Anauza kila kitu hela anazitupa anahamia Vingunguti.
Alikuwa mkurungezi huko BOT wewe wa lini ? Miaka ya 2006 alikuwa anahonga magari mekundu.Amatus ndiye nan
Tajiri asiye na furaha ni tajiri pia.
Ndio.
Haya bhn konda., Lkn swali moja la nyongeza. we tajiri ama.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dada inaonekana unapenda kuhongwa weweAlikuwa mkurungezi huko BOT wewe wa lini ? Miaka ya 2006 alikuwa anahonga magari mekundu.
Mkuu huu msemo unanikumbusha paper I la uchumi form six mwaka 2010.......money is what money does
Nihonge basi gari la rangi ya zambarau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dada inaonekana unapenda kuhongwa wewe
Aliwahonga akina nani maarufu?Alikuwa mkurungezi huko BOT wewe wa lini ? Miaka ya 2006 alikuwa anahonga magari mekundu.
Hata kama..Hivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
RayCAliwahonga akina nani maarufu?
Wengi tu, kuna thread ilimuhusu humu Amatus Liyumba. Kuna list kabisa ya wanawake ilitajwa, mimi nilishasahau majina.Aliwahonga akina nani maarufu?
Wanawake walikuwa wanapeana number yake ya simu na wewe upate mavuno, hasa ukiwa mweupeWengi tu, kuna thread ilimuhusu humu Amatus Liyumba. Kuna list kabisa ya wanawake ilitajwa, mimi nilishasahau majina.
Wanawake walikuwa wanapeana number yake ya simu na wewe upate mavuno, hasa ukiwa mweupe
No nilikuwa too innocent thenSky, wew vipi mgao ulikupitia kando..??
No nilikuwa too innocent then
Hahaa"then". ? Are you no longer innocent..?
heshima yako ilikuwa inamuongezea ama kumpunguzia ninihuyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
wewe muhindi wa kuchoma ukiungua unautupa ama unautufutia ustaarabu wakeππππHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?