SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Huyu jamaa anatuzingua, kama tajiri anataka kuwa masikini mbona simple tu. Anauza kila kitu hela anazitupa anahamia Vingunguti.
Hapo sasa..!! Kuwa maskini ni rahisi sana kuliko kuwa tajiri, kwa nni wasiwe..??